Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mgunda sio tactical coach, simba kwa sasa wana hamasa kubwa lakini sio mbinu ndio maana kila tukikutana na timu zenye waalimu wenye mbinu tunaishia sare.Kumekucha! Kama Mgunda siyo kocha mzuri kwenye mbinu, maana yake hata zile goli 7 mlizoshinda dhidi ya Prisons atakuwa alibahatisha tu! Au zilikuwa ni juhudi binafsi za wachezaji.
Hii imedhihirika huko visiwani leoMichuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji.
Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.