Coastal imecheza play off mara mbili chini yakeUwezo mkubwa? Au anabebwa na juhudi za wachezaji?
Mbona Coastal hali mbaya?
Tatizo kocha hatafuti timu, bali anatafutwa. Hebu mshauri aende timu gani?Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
CV ya Kaze na Mgunda ni sawa?Mbona Kaze yupo na Nabi na wanapiga mzigo fresh tu? Mwacheni aaumue mwenyewe
We si ndio ulimponda kuwa hana vyeti kipindi cha nyumaHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Hivi nyie akili zenu zipo sawa? unaweza mlinganisha Kaze na Mgunda? Kaze ana achievement gani kama coach mkuu?Mwambieni Kaze haya kwanza
Kaze ana leseni ya uefa pro. Lakini ni msaidizi wa Nabi. Mgunda ana caf A ya mwendo kasi (wiki moja karume stadium). Aende kufundisha simba queensHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Leseni ni kigezo cha ajira lakini achievement ndio criteria ya msingi huwezi kwenda kua msaidizi kwa mtu unae lingana nae au unamzidi utajifunza nini?Kaze ana leseni ya uefa pro. Lakini ni msaidizi wa Nabi. Mgunda ana caf A ya mwendo kasi (wiki moja karume stadium). Aende kufundisha simba queens
Mshahara wa kocha msaidizi Simba au Yanga ni mkubwa kuliko kocha mkuu timu kama Coastal, Mtibwa, Mbeya City, Geita nk. Ndiyo maana Cedric Kaze yupo Yanga wakati ni level za kina NabiHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Tupe mafanikio ya Mgunda tangu ameanza kufundishaLeseni ni kigezo cha ajira lakini achievement ndio criteria ya msingi huwezi kwenda kua msaidizi kwa mtu unae lingana nae au unamzidi utajifunza nini?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
1. Ameipeleka simba makundi caf clTupe mafanikio ya Mgunda tangu ameanza kufundisha
Ni kweli ana uwezo na CV kubwa, maana timu zote alizofundisha hazijawahi kukosa kombe au kuwa nje ya tatu bora kwenye ligi. Endelea kumshauri atafute timu nyingine.Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Mbona nafasi yake Coastal Union ipo tu akitaka!! Lakini je Coastal Union wanamlipa Tsh ngapi kwa mwezi kama Kocha Mkuu na SSC wanamlipa ngapi kama Kocha Msaidizi? Kufundisha timu kwa ajili ya sifa kuwa wewe ni Koacha Mkuu huku huna hela mfukoni ni upimbiHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Simba inamlipa bei gani ? au mnababaika na jina tu ? hawa makocha wazawa wanakopwa ni balaaMbona nafasi yake Coastal Union ipo tu akitaka!! Lakini je Coastal Union wanamlipa Tsh ngapi kwa mwezi kama Kocha Mkuu na SSC wanamlipa ngapi kama Kocha Msaidizi? Kufundisha timu kwa ajili ya sifa kuwa wewe ni Koacha Mkuu huku huna hela mfukoni ni upimbi
Kaze tangu afundishe timu hapa afrika
Kinacho angaliwa ni pesa sio CVHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Majungu si mtaji kuwa utatajirikaHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .