Juma Mgunda usikubali kuwa kocha msaidizi , Uwezo wako ni mkubwa , tafuta timu uifundishe

Juma Mgunda usikubali kuwa kocha msaidizi , Uwezo wako ni mkubwa , tafuta timu uifundishe

1. Ameipeleka simba makundi caf cl
2. Aliifikiska kosto union fainali asfc
3. Amejenga
4. Kaoa wake 4
5. Siha imeongezeka-kawa mnene-mpaka mashabiki tunamuita gudiola mnene
Haaaa hivi ni kweli mwamba ana wake 4 au umeamuwa kunogesha kijiwe?
 
Back
Top Bottom