Juma na Ali Safari Mbili za Maisha

Usi-rush, andika kidogo kidogo sehemu nyingine siku ukimaliza ndo sasa unahamishia huku. Otherwise uwe na wewe ni miongoni mwa wale wanapewa mirabaha kuhakikisha mabandiko hayakauki humu.
Asante sana πŸ™
Kuna wanaopewa mirabaha?
 
Napenda kuandika ila ni mvivu wa kuandika hapa nilitamani hii story iwe ndefu ila tayali nakua nachoka

Nawezaje Kuandika mabandiko malefu zaidi
Yaani napenda kuandika na pia ni mvivu kuandika mpka kusoma mabandiko malefu najionea tabuπŸ™Œ
Nimeumia Sana kuona bandiko limeisha Bila kugusia tusisahau kulombana 😭
 
Nimeumia Sana kuona bandiko limeisha Bila kugusia tusisahau kulombana 😭
Umeshakalili napenda mijegeje etπŸ˜…

Anyway pamoja na yote tupeane utamu yaan kiwake like this πŸ”₯πŸ«£πŸ†
 
So now umeshatoka meatu?
Hatuwezi kuonana maana huna uwezo wa kujibu kwa ufasaha hoja zangu

Utakua bubu gafla kitu sipendi au sitaki kikutokee
in fact,
hua nikikubalina na mtu kukutana nae macho kwa macho, kwangu mimi huwa ni wakati muafaka wa vitendo mbele kwa mbele,

kama ni lecture nampiga mtu kulingana na muda tuliokubaliana nae with nonstop,

kama ni kula chakula cha mchana au cha usiku hali hua ni ile ile with nonstop, ili hatimae tutimize lengo la kukutana kwa usahihi na ukamilifu wake bila hasara ya muda au rasilimali kupotea bure.

sinaga maeno mengi tukikutana
 
That's my baby girl nayekujua Sasa 😘

N mwendo wa hasi na chanya kusuguana tuu πŸ’¦
Hivi naonekana napenda sana jigijigi et kiasi nikija na story kama hizi naonekana wa ajabu eeehπŸ˜…πŸ˜…

Basi huenda hujui tu nina nyuzi nyingi sana za aina mbali mbali🫰

Ila kupeana utamu ni muhimu mnoo kulinda afya ya akili na tusema amen
 
in fact,
hua nikikubalina na mtu kukutana nae macho kwa macho, kwangu mimi huwa ni wakati muafaka wa vitendo mbele kwa mbele,
Vitendo gani sana kwani mimi na wewe yukikutana lengo ni nini?
Si ni maongezi
kama ni lecture nampiga mtu kulingana na muda tuliokubaliana nae with nonstop,
Mpka hapa nishakugalagaza tayali
Kumbuka umeshindwa kujibu hoja zangu kule
kama ni kula chakula cha mchana au cha usiku hali hua ni ile ile with nonstop, ili hatimae tutimize lengo la kukutana kwa usahihi na ukamilifu wake bila hasara ya muda au rasilimali kupotea bure.
unajipakulia minyama punguza kipimo
sinaga maeno mengi tukikutana
Chai
 
Mm nakuchukulia poa tuu hata sina hizo akili za kumkariri mtu na aina yake ya uandishi.

Ila kupeana utamu ni muhimu mnoo kulinda afya ya akili na tusema amen
Anyway, hili ndo la msingi πŸ‘† tulombane ili kuweka sawa akili zetu.

Amen
 
Mm nakuchukulia poa tuu hata sina hizo akili za kumkariri mtu na aina yake ya uandishi.


Anyway, hili ndo la msingi πŸ‘† tulombane ili kuweka sawa akili zetu.

Amen
Fire πŸ”₯ πŸ”₯
 
Vitendo gani sana kwani mimi na wewe yukikutana lengo ni nini?
Si ni maongezi

Mpka hapa nishakugalagaza tayali
Kumbuka umeshindwa kujibu hoja zangu kule

unajipakulia minyama punguza kipimo

Chai
kumbuka,
mimi hua sipiganagi mwenyewe bali napiganiwa na Baba wa Mbingu, na Vyote viujazavyo Ulimwengu.

Na kabisa huwa sigaligali hata kama nikiwa lonely,
Na kamwe siwezi kushindwa kujibu hoja tena kwa kiswahili kabisa? hazo najibu kwa haraka zaidi kuliko kwa lugha nyinginezo. halafu, sikumbuki ikiwa kuna hoja uliileta mbele yangu, ntafurahi ukinikumbusha kabla sijaanza safari niwe nimeijibu,

kiukweli,
nyama hua nakula sana na sijawahi kujivunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…