ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #41
Angalia tena kule ndani kwako utaona kuna hoja zangu anyway ngoja nikuache tu mkuu πkumbuka,
mimi hua sipiganagi mwenyewe bali napiganiwa na Baba wa Mbingu, na Vyote viujazavyo Ulimwengu.
Na kabisa huwa sigaligali hata kama nikiwa lonely,
Na kamwe siwezi kushindwa kujibu hoja tena kwa kiswahili kabisa? hazo najibu kwa haraka zaidi kuliko kwa lugha nyinginezo. halafu, sikumbuki ikiwa kuna hoja uliileta mbele yangu, ntafurahi ukinikumbusha kabla sijaanza safari niwe nimeijibu,
kiukweli,
nyama hua nakula sana na sijawahi kujivunga
karibu sana ukiona inafaa,Angalia tena kule ndani kwako utaona kuna hoja zangu anyway ngoja nikuache tu mkuu π
Noma πkaribu sana ukiona inafaa,
i'm available for everyone of you
iko upande gani tena hiyo noma ndugu mdau?Noma π
Kuna sehemu wanapiga band hapa sasa kuna mtu kila time anasema noma sanaiko upande gani tena hiyo noma ndugu mdau?
alaah kumbe leo ni sikukuu?Kuna sehemu wanapiga band hapa sasa kuna mtu kila time anasema noma sana
Poleeeπalaah kumbe leo ni sikukuu?
aise nilisahau kabisa
kwahiyo bado uko unafakamia mipombe michunguuuuuu, right?πPoleeeπ
Tokaaaaa πkwahiyo bado uko unafakamia mipombe michunguuuuuu, right?π
kumeza mpaka ukaze sura na kungata meno kweli ndrugu zango? aise kweli mnavumilia mengi dah πTokaaaaa π
Hapana mimi ni mwanamke siwezi Kunywa pombe za kunikomazakumeza mpaka ukaze sura kweli ndrugu zango?π
Okay,Hapana mimi ni mwanamke siwezi Kunywa pombe za kunikomaza
Sijakomaa na pombe ila akili ninayo mwili mzimaOkay,
kwahiyo bado hujakomaa sio?
haiuzwi kwa wenye umri wa chini ya miaka 18, tafadhali kunywa kistaarabu