Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

Kuna vitu ni ngumu sana kuvielewa nyie mashabiki wa kiba..na hamtak kuvikubali....ivi kitendo cha kufanya mziki na R kelly afu hio collabo isikupe big impact na mziki ni biashara huon kama ni hasara,ata kina navio aman walikuepo kwenye hio project......umesema nyimbo zote za mond mapenz kwa hili hauko sahihi fatilia vizur labda ungesema kitu kingne....pia ebu tuanze kuongelea mwaka ambao mond kaingia kwenye mziki halafu tuseme nan ana mafaniko kwenye mziki....nikupe mfano mwingne mm ni shabiki mkubwa wa fid Q since nimeanza kujua mziki ila mtu akiniambia joh makin ameusogeza mziki wa hip Hop tz kimataifa siwez kukataa ata siku moja nitakua mjinga.....haijalishi mtu ana imba nyimbo gan mziki ni burudani
 
Sikatai davido alisema anataka kufanya collabo na kiba...pia hio ilikua nafas nzuri kwa kiba kuingia kimasoko nigeria....ila unajua alichokijib alikiba kwenye interview na millard...nikasema uyu jamaa atakua wa Hapa Hapa tu....kama unaajua kbs mziki ni biashara davido alitaka kucheza akil ya kibiashara hapo kiba akajiona MJ anajibu pumba kwa millard....mziki ni biashara na kama haukupi faida usijite unafanya mziki mkubwa
 
Swala la collabo sio kitu cha kufanya umuite mtu anafanya mziki mkubwa....mbn kina ben pol juma jux vanessa kwenye chorus ni vichwa aisee....lets talk fact ndugu yangu
Ivi pia kufanya live show ndo useme flan ni mkubwa kuliko flan...ivi unajua ata MJ alikua anapiga play back(simfananishi MJ na mond ila nakupa mfano)
Kuhusu copy najua utakua unazungumzia beat zake mara nyingi...hivi unajua lupela izo beat sio hasiri yetu na sio mzki wetu fatilia utaona
 
Swala la collabo sio kitu cha kufanya umuite mtu anafanya mziki mkubwa....mbn kina ben pol juma jux vanessa kwenye chorus ni vichwa aisee....lets talk fact ndugu yangu
Unaenda O/P hapo ni kama kuulizwa simba na yanga ipi nzuri ukasema Mtibwa... Tunamzungumzia diamond na Ali kiba siyo?.. Najua Ben Paul,belle9,barnaba ni wakali bt hawapo considered na mada yetu hapa Mzee.
 
Unaenda O/P hapo ni kama kuulizwa simba na yanga ipi nzuri ukasema Mtibwa... Tunamzungumzia diamond na Ali kiba siyo?.. Najua Ben Paul,belle9,barnaba ni wakali bt hawapo considered na mada yetu hapa Mzee.
Hahahaha sio opi ndugu nimekupa mfano mzuri sana kuhusu chorus mkuu
 
Who is Milard by the way.... Si kila mtu anapenda kuweka mipango yake hadharani Mzee nambie kamjibu hovyo Davido sawa... Mirad ni mwandish tuu Mzee.
 
Hahahahaaaaaa lupela siyo?
 
Who is Milard by the way.... Si kila mtu anapenda kuweka mipango yake hadharani Mzee nambie kamjibu hovyo Davido sawa... Mirad ni mwandish tuu Mzee.
Ile interview iko in terms of video unaona kila kitu sio audio kiba alijibu pumba sana....ila nikwambie kitu kimoja mm nasikiliza mzik wa hawa watu ote wawil naelewa vizur sio kama shabik mwngne unakuta yeye kiba za mond hatak kusikia au yeye mond za kiba hatak kusikia tunafel
 
Skiza me naskiza zote Mzee na ndo maana najua hata tofauti ya hawa madogo wawili sawa mheshimiwa diamond msanii mzuri ila utunzi na sauti kaachwa hiyo mfuate mtu yyte anayejua muziki atakwambia
 
Hawez kuomba coz kuna watu hawawez till now nature yupo sawa na mkatae mkubali diamond kimuziki atasubir sana kwa Kiba yaani hiyo kubalini au kataeni
Hawez kuomba coz kuna watu hawawez till now nature yupo sawa na mkatae mkubali
diamond kimuziki atasubir sana kwa Kiba yaani hiyo kubalini au kataeni

teh teh teh,we jamaa buanaa!!!!
 
Yaani si angesema anataka kumtumia Diamond ili apate pesa, watu wengine wanachekesha kweli. Ameshindwa nini kupambana kujipaisha kaisha yake yeye mwenyewe na kikazi.

Hii kali akalale zake huko, apige kazi sio kutaka kutumia mgongo wa Baba Tiffah.
 
Hivi inakuwaje mwanamuziki mkali kama nature inafika kipindi kila ukijitahidi kutoa.... inatoka pumba! Hata ukijifungiaaa... ukitoka kitu pumba! Inashangaza sana
Kila msanii ana muda wake unafika anapotea....vipi kuhusu mb dog,z anto, ferouz, daz baba
 
Aliyechukua tuzo tano mbele yake katika kategor 6 waliZokuwa pamoja
Afrimma, afrima, mtv ema 2, channel o, uganda Awards, nigeria Awards, SA Awards, cokes Awards, kenya Awards izi zote ujaziona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…