Baazigar
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 1,129
- 1,102
Kuna vitu ni ngumu sana kuvielewa nyie mashabiki wa kiba..na hamtak kuvikubali....ivi kitendo cha kufanya mziki na R kelly afu hio collabo isikupe big impact na mziki ni biashara huon kama ni hasara,ata kina navio aman walikuepo kwenye hio project......umesema nyimbo zote za mond mapenz kwa hili hauko sahihi fatilia vizur labda ungesema kitu kingne....pia ebu tuanze kuongelea mwaka ambao mond kaingia kwenye mziki halafu tuseme nan ana mafaniko kwenye mziki....nikupe mfano mwingne mm ni shabiki mkubwa wa fid Q since nimeanza kujua mziki ila mtu akiniambia joh makin ameusogeza mziki wa hip Hop tz kimataifa siwez kukataa ata siku moja nitakua mjinga.....haijalishi mtu ana imba nyimbo gan mziki ni burudaniMuziki ambao kwanza unaigusa jamii kwa nyanja zote anazungumzia maisha na mapenzi diamond ni mapenziiiiii asubuhi mpaka usiku reference macmuga,ya Karim, yatima, hela, Mwana pili anapiga muziki unaoweza kusikizwa na rika lolote reference hizo juu lakini kubwa zaid anafanya live band na si playback kingine hamna kopy za kinigeria kama wengine mwisho jamaa ni mzuri kwenye chorus reference nainai,changanya changanya ya sharo milionea,kiboko yao ya Mwana fa, uaminifu ya Bonge la nyau na vingine pia ndo msanii Wa kwanza bongo kushare booth na wasanii wa Dunia reference R.Kelly, Neyo siez maliza Mzee vigezo ni vingi ila nakuachia task Davido alitafutwa na diamond ila davido ANAMTAFUTA Ali kiba... Chekecha akili hapo