Hii imetokea dakika chache zilizopita baada ya kuingia kwenye intavyuu ya FNL amelewa,pia amevaa singlend na ndala.
<NB>
Ni aibu kwa msanii mkubwa kama yeye kuingia kwenye intavyuu akiwa katika hali ile,nilikuwa nahisi hata aibu jinsi alivyokuwa anajibu maswali ya Misago yaani lazima atakuwa alipiga viroba vya kutosha + bangi.