Juma Nature aula: Alamba Ubalozi wa Temeke, hongera kwake

Sawa....

Je na yule "mcheza basketi mh.Temba" analichukuliaje hili?!!

Kwani alijitokeza kuhojiwa na kituo kimoja cha Runinga ambako aliponda msimamo wa mh.Meya kumpatia Ubalozi mchekeshaji Erick Omondi.....

Maskini "mh.Temba" hakujua kuwa mh.Meya "hakujifunga" kwa mtu mmoja tu🤣

Kumbe Omondi ataiwakilisha Temeke huko kwao/nje...

Juma Nature ni balozi wa TMK humu ndani.....
 
ila huyu jamaa bwana, kiukweli ana kanyota flani ka kukubalika........kiufupi ana nyota ya jk.

mi hadi leo bado namheshimu sana!
 
Bila shaka sasa atapata uwanja mpana wa kuipigania bange ishushwe bei kutokana na tozo za pusha.
 
Hivi vyeo uchwara ni matunda ya awamu ya 6, hakika mama anaupiga mwingi mno.[emoji1614][emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…