Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Kwa MparangeNchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa MparangeNchi gani?
Sijawahi kukutana na Juma Nature alias Kiroboto popote pale nisimkute na Bangi ( Bange ) ama Mfukoni mwake au katika Gari lake huu mwaka wa 15 sasa.Ni kama masai aache kutembea na sime yake
Dah....kwani nawe unavuta mkuu? Maana hadi ya mfukoni unaiona mkuu...,,[emoji2960]Sijawahi kukutana na Juma Nature alias Kiroboto popote pale nisimkute na Bangi ( Bange ) ama Mfukoni mwake au katika Gari lake huu mwaka wa 15 sasa.
Ndiyo inanifanya niwe na Akili tu 24 / 7.Dah....kwani nawe unavuta mkuu? Maana hadi ya mfukoni unaiona mkuu...,,[emoji2960]
Dah.....akili???? [emoji2960].....Ndiyo inanifanya niwe na Akili tu 24 / 7.
Hahahaha [emoji1787] umeuwa mkuuAnalipwa tsh ngapi kuwa balozi wa TEMEKE mpaka BUZA kwa Mpalange?
Safi sana,alietokea Temeke Mikoroshini ni Inspector Haruna na Luten Kalama pamoja na King Sapeto.Nijuavyo mimi Juma Nature anatokea Kurasini na Mbagala ambazo zote zipo Temeke na sio Temeke Mikoroshini