Juma Nature aula: Alamba Ubalozi wa Temeke, hongera kwake

Juma Nature aula: Alamba Ubalozi wa Temeke, hongera kwake

IMG_7200.jpg

Hapa nature akikabidhiwa bendera ya temeke
 
Nchi gani?
Wakuu
Mwanetu kabisa wa temeke mikoroshini kashalamba ubalozi wa Temeke, meya amemkabidhi bendera Juma nature ili aitangaze tmk kokote aendako hata akiwa maskani airangaze temeke.
Hongera mzee wa ugali na samaki mkubwa.
 
Back
Top Bottom