Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
nyimbo inahusu kulielezea jwtz na baadhi ya mission ilizoshiriki nje ya nchi ,ndani ya video utapata kumuona jay mo akiwa juu ya tank,pia wanaonekana wakiwa kwenye meli ya kijeshi na pia wwanaonekana wakiwa supported na wanajeshi wengine wa kweli wa jwtz pia zinaonekana baadhi ya ndege za kivita za jwtz na jaya mo,nature na prof j wakiwa pembeni yake inaonekan ni uwanja wa kijeshi ule ila sijajua ni wa wapi,
kwa kumalizia incase you didnt know ni kwamba wasanii wote majina yao yanaanziwa na j kwa maana ya jay mo,juma nature, na joseph haule(prof j)
hiki ni kipande cha video chenye urefu wa dk 2.7 video yenyewe kamili inakuja mwezi wa nne na imeongozwa na mike tee
Last edited by a moderator: