Juma Nature, Jay Mo na Prof J watoa nyimbo wakitumia vifaa vya kijeshi na sare za jeshi (JWTZ)

Juma Nature, Jay Mo na Prof J watoa nyimbo wakitumia vifaa vya kijeshi na sare za jeshi (JWTZ)

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398

nyimbo inahusu kulielezea jwtz na baadhi ya mission ilizoshiriki nje ya nchi ,ndani ya video utapata kumuona jay mo akiwa juu ya tank,pia wanaonekana wakiwa kwenye meli ya kijeshi na pia wwanaonekana wakiwa supported na wanajeshi wengine wa kweli wa jwtz pia zinaonekana baadhi ya ndege za kivita za jwtz na jaya mo,nature na prof j wakiwa pembeni yake inaonekan ni uwanja wa kijeshi ule ila sijajua ni wa wapi,

kwa kumalizia incase you didnt know ni kwamba wasanii wote majina yao yanaanziwa na j kwa maana ya jay mo,juma nature, na joseph haule(prof j)
hiki ni kipande cha video chenye urefu wa dk 2.7 video yenyewe kamili inakuja mwezi wa nne na imeongozwa na mike tee
 
Last edited by a moderator:
Ebwana eeeeh kumbe inawezekana au sababu wamewaimba na kuwasifia wao namuona Nature haamini katia gwanda mbele ya wajomba alafu hakamatwi.
 
Dah naona APC( Armoured Personal Carrier)/kifaru mpyaaaa imepigwa na rangi baka baka

Safi sana
 
Dah naona APC( Armoured Personal Carrier)/kifaru mpyaaaa imepigwa na rangi baka baka

Safi sana

mkuu uko deep kimtindo .naona umetaja tu terminology ambayoa mtu wa kawaida sio rahisi sana kuijua.
 
Ebwana eeeeh kumbe inawezekana au sababu wamewaimba na kuwasifia wao namuona Nature haamini katia gwanda mbele ya wajomba alafu hakamatwi.

nahisi walikuwa wanaona kama ndoto vile,ila so far nimeona jay mo kama kawaida yake kapasuka fresh sana ngoja tusubirie itoke tumuone prof nae kapasuka vipi.
 
Video yenyewe kwangu mbona inagoma,inaleta error.

"Nlikuwepo":bolt:
 
huo wimbo ulitakiwa utoke mwaka 2011 kama sikosei ila sijajua tatizo ilikua nn. Kwani clips za hiyo video Mike T aliweka kule FB mwaka tajwa hapo juu. By the way All the best.
 
huo wimbo ulitakiwa utoke mwaka 2011 kama sikosei ila sijajua tatizo ilikua nn. Kwani clips za hiyo video Mike T aliweka kule FB mwaka tajwa hapo juu. By the way All the best.

kuuumbee :shocked:
 
dah!jay mo hatari sana....we mpe kichwa cha habari lazima akufurahishe katika verse zake!hatoki nje ya mada
 
j. mo yuko vizur juma nature ni lawama wakiwa na prof basi tena ni tabu 2pu
 
Back
Top Bottom