Juma Nature... Juma Jumaa Nature..!!

Mdada anajua kuchana niliuangalia jana nikafurahia mdada, isipokua juma ametuletea yale mambo ya zamani ya kusimulia maisha na kuuliza maswali yasiyoendana na maudhui ya wimbo.

Beat ilikua poa, msichana aliye na juma kama video queen ni kama hana uzoefu au chemistry yao haijawa poa. Quality ya video, mandhari ni shit.
 
jitahidi kuuangalia mara nyingi tufikishe viewers milioni moja
 
Mnhh...

Come again!!?
 
Saanaa..

Huyo jamaa aloimba kionjo anajiita 'mzungu kichaa'.. Watoto wa enzi hizi za kiki hawawezi mjua..haha...
Hawawezi mjua huyu mzungu muhuni... wameanza kuangalia video director mkali hanscana sisi tunamjua AJ Next level... dah
 
Yeah ni kweli, lakini unajiskiaje pale X wako mliependana sana anapokuambia mrudiane...?
 
Yeah ni kweli, lakini unajiskiaje pale X wako mliependana sana anapokuambia mrudiane...?
haahaaa...


Mkuu unaficha sana maana..lainisha kidogo..walamba lipsi waelewe..

Hilo ni hater...kima flan hivi
 
Blaza Nature upepo wake ulishapitaga enz hizo za "Sitaki demu" hizi anazofanya saiv ni bora akaushe tu atafute shughuli nyingine tu

Mkongwe aliyeweze ku cope na game ni Jay Mo tu
 
Hahahahahahahahha!
Jumaaaaa, Jumaaaa, Jumaaaa welcome back,
Mhhhh, ila huyu dada anajua sana, anaweza kuchana na kuimba (Rare Talent)
Palantir uje huku bwana,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…