Juma Nature... Juma Jumaa Nature..!!

Juma Nature... Juma Jumaa Nature..!!

Hahahahahahahahha!
Jumaaaaa, Jumaaaa, Jumaaaa welcome back,
Mhhhh, ila huyu dada anajua sana, anaweza kuchana na kuimba (Rare Talent)
Palantir uje huku bwana,,,
Hahaha.. Juma Kassim.. Kirobotooo.. Mgambo .. Malcom Lumumba [HASHTAG]#Unayumba[/HASHTAG] kama hujaisikiliza na [HASHTAG]#Nadhani[/HASHTAG]..
Jamaa kaamua kurudi!, watoto wamvumilie tu hakuna namna!..
 
But naona kama Nature haez rudi game ya sasa iko tayt...anatakiwa kubadilika sana. Hii ngoma haiez muweka anapotakiwa kukaa sasa. J Mo ni mfano mzuri wa wasanii wakongwe wanavotakiwa kubadilika kuendana na game ya sasa
 
Ni ngoma nzuri kwa kiwango cha kati katika zile ngoma kali za nature, ila laiti ingekuwa kile kipindi cha utawala wake mimi napenda kukiita juma nature era basi hii nyimbo ingesumbua sana..
Ni km sasa hiv mtoto mondi kipindi chake hiki hata akitoa mgoma mbovu inang'ara tuu
 
Haaha hahaa haha huu Uzi haunifai ....Maana naona nitapingana kimawazo na watu nao waheshimu "".... Castr ""...
 
Watu msiomfahamu huyu dada Karen Mukupa nendeni Google au Youtube mtafahamu habari yake. Huyu ni mwanamuziki kweli.
 
Sidhani kama utamrudisha ile kabisa kabisa..............
Huwezi fanya kitu kile kile kwa namna ile ile ukategemea matokeo yawe yanabadirika ......
 
Back
Top Bottom