Hahaha.. Juma Kassim.. Kirobotooo.. Mgambo .. Malcom Lumumba [HASHTAG]#Unayumba[/HASHTAG] kama hujaisikiliza na [HASHTAG]#Nadhani[/HASHTAG]..Hahahahahahahahha!
Jumaaaaa, Jumaaaa, Jumaaaa welcome back,
Mhhhh, ila huyu dada anajua sana, anaweza kuchana na kuimba (Rare Talent)
Palantir uje huku bwana,,,
Hahahaa,nature ana ladha sanaHahaha.. Juma Kassim.. Kirobotooo.. Mgambo .. Malcom Lumumba [HASHTAG]#Unayumba[/HASHTAG] kama hujaisikiliza na [HASHTAG]#Nadhani[/HASHTAG]..
Jamaa kaamua kurudi!, watoto wamvumilie tu hakuna namna!..
Huyo hapo kiroboto, Ila sizisahau Mgambo, Sitaki demu na Sinta.Hahahaa,nature ana ladha sana
hahahaa...Ccm ni noma yaani mtu anawadai wakampa maji madogo ya Kilimanjaro anywe
hahahaa ....hawakawii kukuweka kwenye ignore list hawana maana Hawa ""...Wapinge halafu kimbia
Hahahaha, nilikuwa sijaisikiliza sana.Huyo hapo kiroboto, Ila sizisahau Mgambo, Sitaki demu na Sinta.
Hivi huyu director yupo wapi sikuhizi?Hawawezi mjua huyu mzungu muhuni... wameanza kuangalia video director mkali hanscana sisi tunamjua AJ Next level... dah
hahaahaa...Hahaha.. Juma Kassim.. Kirobotooo.. Mgambo .. Malcom Lumumba [HASHTAG]#Unayumba[/HASHTAG] kama hujaisikiliza na [HASHTAG]#Nadhani[/HASHTAG]..
Jamaa kaamua kurudi!, watoto wamvumilie tu hakuna namna!..
Atakuwa anafanya production tofauti na music videos... Kaitoa mbali sana bongo flavaHivi huyu director yupo wapi sikuhizi?