latino chopa
Member
- Oct 19, 2016
- 60
- 32
mimi huwa naushangaa sana, huwa siuelewagi kabisa, wenyewe wanadai wanataka kuupeleka next level ETI anga za kimataifa, yaani ni muziki wa mpito tuu kaama mayai ya kware na sifa zake yalipopotelea haijulikani.Mi mwenyewe huwa nahisi singeli ni upepo tuu utavuma na kuisha, tena imepata umaarufu kwa kuwa ilipigiwa promo na Efm, sasa na mawingu wakaidakia juu juu kwa kasi hawajui hata wanaipeleka wapi.
Singeli ina maisha mafupi kwa sasa
Umeipa hadhi yake jf, watu ambao hawajui fasihi ndio wanauponda mziki huu. Kwa vile una hadhira yake utadumu... Kazikazikazi sholo mwamba anafanya Prof jay anafanyakazi, nawe jitume ufanye kazi....cheza kimabawa baharia wanguKifupi ni kwamba waimba singeli wameshindwa jua asili ya singeli,imetoka wap?na kwann inaitwa singeli...ukisoma fasihi simulizi,mashairi ni moja ya tanzu za fasihi simulizi,mashairi yamegawanyika mara mbili kuna mashairi ya zamani(yenye vina) na mashairi ya kisasa(yasio na vina), kwanini singeli?kwasababu ktk mashairi ya zaman wanatumia vina...so kati ya tungo na mwisho wa tungo kuna kitu kinaitwa NGELI..mf..katoka baba mmoja,toka safari ya mbali.kavimba yake mapaja na kutetemeka mwili...hizo ja na li ndio ngeli(vina) but kwenye mashair ya kisasa hakuna hvyo ngeli ndio maana wanaita singeli yana unazungumzi lolote lile ili bila kufuata vina ili mradi ilete maana..huko ndipo asili ya singeli..ndio maana unaona kama wanapiga kelele tu bit kwa wanaojua tunajua wanafanya nini,all in all kila muziki una hadhira yake(walengwa) ww unaweza ona upuuzi kwa wenzio ikawa tiba,pia naunga na ww hii ni fursa lazima itumiwe so watu msiubeze kila muziki una pakuanzia pakufia hatujui hata hyo mnaiita bongo flavour si ilianza hatujui itakufa lini.
Ananifurahisha na sura yake ya kitoto Japo ya kibangi, kwa hiyo ndyo kusema wakija wasanii studio kwenye Studio yake wakataka awarekodie singeri atawafukuza, hivi kwa week anakunja ngapi kwa mwezi je? Na bado yupo na mke wake yule wa nmb, vip Sinta kipindi kile aliporwa na nani? Wasanii legends msitake kick muziki ni ubunifu na kwenda na wakati wapeni wadogo zenu moyo, kuna kupanda na kushuka kwenye game, mbaya ni kuporomoka kama ilivyomtokea Mr Nice, wekeni akiba na kuwekeza mnavyokuwa mpo juu kimziki
Licha ya Singeli kuwa muziki ulioibuka kwa kasi na kujizolea mashabiki lukuki na kufanikiwa kuzalisha vipaji kadhaa mwanamuziki Mkongwe Juma Kasim Nature ameibuka na kusema muziki huo ni wa kihuni na hautadumu.
Akiongea katika studio zake za Halisi Records mapema wiki hii na mwandishi wa habari hizi, Juma Nature amedai kuwa Singeli ni muziki ambao hautoishi kuwa muziki wa kudumu kwa muda mrefu bali unapita tu kwasababu ni muziki wa kihuni.
Akaongeza pia kuwa mahabiki hawapendi mambo ya kipumbavu ambayo yanaletwa na baadhi ya wahuni wanaovamia muziki.
“Singeli itapita tu kwasababu ya uhuni,” alisema.
“Unajua raia wengi wa Bongo hawapendi mambo ya kipumbavu pumbavu na mashabiki wetu wengi sana sio wahuni ila wahuni wanakuja katika hizi section, so wakija kwenye section hapo muziki hakuna tena,” alisema Nature.
Source: Bongo5
NA NDO HAWAWEZI TU!Mnataka kumnyima MAN FONGO Ugali sasa
mkuu, singeli ni jina la mtu, sio kama ulivyoelezea wewe, huyo mtu alikua anapenda sana kucheza hiyo tunayoiita singeli sasa hivi, alikua anafanya shows na kina sholo mwamba na man fongo( za kwenye vigodoro kipindi hicho kabla hawajapata majina kama waliyokua nayo sasa hivi) tuseme alikua mchezaji wao,sasa kwenye kuimba walikua wanamtaja sana 'kumpaisha' . kama "sijaona singeli" shika ukuta cheza singeli' sasa kutajwa tanjwa kwake sana ndo watu wakaanza kuuita huu mziki singeli.[emoji4]Kifupi ni kwamba waimba singeli wameshindwa jua asili ya singeli,imetoka wap?na kwann inaitwa singeli...ukisoma fasihi simulizi,mashairi ni moja ya tanzu za fasihi simulizi,mashairi yamegawanyika mara mbili kuna mashairi ya zamani(yenye vina) na mashairi ya kisasa(yasio na vina), kwanini singeli?kwasababu ktk mashairi ya zaman wanatumia vina...so kati ya tungo na mwisho wa tungo kuna kitu kinaitwa NGELI..mf..katoka baba mmoja,toka safari ya mbali.kavimba yake mapaja na kutetemeka mwili...hizo ja na li ndio ngeli(vina) but kwenye mashair ya kisasa hakuna hvyo ngeli ndio maana wanaita singeli yana unazungumzi lolote lile ili bila kufuata vina ili mradi ilete maana..huko ndipo asili ya singeli..ndio maana unaona kama wanapiga kelele tu bit kwa wanaojua tunajua wanafanya nini,all in all kila muziki una hadhira yake(walengwa) ww unaweza ona upuuzi kwa wenzio ikawa tiba,pia naunga na ww hii ni fursa lazima itumiwe so watu msiubeze kila muziki una pakuanzia pakufia hatujui hata hyo mnaiita bongo flavour si ilianza hatujui itakufa lini.
Duh sasa tumwamini nanimkuu, singeli ni jina la mtu, sio kama ulivyoelezea wewe, huyo mtu alikua anapenda sana kucheza hiyo tunayoiita singeli sasa hivi, alikua anafanya shows na kina sholo mwamba na man fongo( za kwenye vigodoro kipindi hicho kabla hawajapata majina kama waliyokua nayo sasa hivi) tuseme alikua mchezaji wao,sasa kwenye kuimba walikua wanamtaja sana 'kumpaisha' . kama "sijaona singeli" shika ukuta cheza singeli' sasa kutajwa tanjwa kwake sana ndo watu wakaanza kuuita huu mziki singeli.[emoji4]
Huo mchiriku unaoungelea, mwezi uliopita watu wMeperform white house USASingeli itakufa kama mchiriku ,mduara,ngoma za daku na kigodoro.
Sioni kama utaishi huo mziki
Ni kama mmea uliota kwenye mchanga