barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kwa kuwa we ni mzaramo, ngoja nikubali, msaga sumu anaimba singeli, ila singeli yake ni tofauti na ya kina man fongo., hapo je!!kwa hiyo umeamua kubishana na Msaga Sumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa we ni mzaramo, ngoja nikubali, msaga sumu anaimba singeli, ila singeli yake ni tofauti na ya kina man fongo., hapo je!!kwa hiyo umeamua kubishana na Msaga Sumu?
Hata Ney wa Mitego Anafanya hip Hop ila Hip Hop yake ipo tofauti na hip hop ya kina Songa,Nikki Mbishi na Fid Q.Kwa kuwa we ni mzaramo, ngoja nikubali, msaga sumu anaimba singeli, ila singeli yake ni tofauti na ya kina man fongo., hapo je!!
Au niambie baharia wangu..Kila singeli utasikia: eeh baba eeeh baba eeeeeeh baba!
Mziki wa hovyo kabisa huu, naupa miezi miwili iliyobaki sidhani kama utafika mwaka mpya huu mziki, kila singeli beats zile zile isipokuwa lyrics tu, na lyrics zenyewe eeeh baba eeeh baba, mara shemeji na uhuni mtupu! Upuuzi kabisa!
By the way, msaga sumu haimbi singeli ndo maana ataendelea kuwapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gudo[emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania ndivyo tulivyo
Aliwahi kupotea mtu muhimu sana kwenye game...Lucas Mkenda 'Mr.Nice' eti kwa sababu tu watu hawakupenda 'kuku kapanda baiskel'
Ooh hakuna sense hakuna sense...utajiuliza...kwani lazima kila msanii aimbe sense???
Watu hao hao walikata viuno kwenye 'abaaba aba abaaba prakata atumba'
Tumelaaniwa sisi
siku hizi hakuna nyimbo za kutazama na familia..Ule uhuni kuanzia kucheza na maneno yake 'hainaga ushemeji,tunakulaga zamu ya nani Leo!' Huwezi sikiliza au kutazama na mama mkwe.
je wajua hicho wanachokiimba ni hatari, aibu, uchafu na sumu zaidi ya kupigwa kabari mtaaniSidhani Kama Utakufa!Tujifunze Kukubali Vipaji Vilivyo Ndani ya Wengine!Mathalani,Mie Nampenda Shollo Mwamba na Kazi Zake!Kama Haitoshi Bila Mziki Huu,Kuna Watu Wangetupiga Roba Mtaani!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We msic gani hadi uchezeshe kalio kwaz zam mara la kushoto,mara la kulia...
Yeye anauona ni muziki wa kihuni lakini vijana wenzie wameiona fursa wameanza kuitumia na wanapiga mpunga manfongo toka fiesta imeanza mbaka inaisha atakuwa kaingiza si chini ya milioni 20 sio pesa ndogo na akizidi kujitahidi ataingiza pesa nyingi zaidi wakati huo Nature amekaa kijiweni anawaponda!
-Nyerere-
Siukubali kabisa ule mzikiI said it way before that it was just a passing fad.
Glad to see others who share that viewpoint as well.
Umenifungua Macho!Kifupi ni kwamba waimba singeli wameshindwa jua asili ya singeli,imetoka wap?na kwann inaitwa singeli...ukisoma fasihi simulizi,mashairi ni moja ya tanzu za fasihi simulizi,mashairi yamegawanyika mara mbili kuna mashairi ya zamani(yenye vina) na mashairi ya kisasa(yasio na vina), kwanini singeli?kwasababu ktk mashairi ya zaman wanatumia vina...so kati ya tungo na mwisho wa tungo kuna kitu kinaitwa NGELI..mf..katoka baba mmoja,toka safari ya mbali.kavimba yake mapaja na kutetemeka mwili...hizo ja na li ndio ngeli(vina) but kwenye mashair ya kisasa hakuna hvyo ngeli ndio maana wanaita singeli yana unazungumzi lolote lile ili bila kufuata vina ili mradi ilete maana..huko ndipo asili ya singeli..ndio maana unaona kama wanapiga kelele tu bit kwa wanaojua tunajua wanafanya nini,all in all kila muziki una hadhira yake(walengwa) ww unaweza ona upuuzi kwa wenzio ikawa tiba,pia naunga na ww hii ni fursa lazima itumiwe so watu msiubeze kila muziki una pakuanzia pakufia hatujui hata hyo mnaiita bongo flavour si ilianza hatujui itakufa lini.