Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Na ww uliuaa wangap??
 
Tupe na za yule Mzee wa kagunga aliekuwa ikifika usiku anatandika mkeka juu ya ziwa Tanganyika anakwenda kulala Burundi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
 
Yaani mpk ardhi inamkataa daah!
 
LIKUD hiyo ya kufa na hiyo ya kupikwa kwenye pipa alifanyiwa zzk hadi leo ndio maana anajiamini yule mtoto , na ukicheza na zitto kwenye mila anakuondoa , yule dogo alifaidi dawa zile wengine tulishtuka alishakufa.
Kumbeee[emoji2] [emoji3] [emoji3]
 
Mmhh!duniani kuna mambo jamani!
 
Mara unakutana nae mchana unamzingua,mnarushiana maneno na kumpeleka police juu,Alafu unafungua JF unakuta LIKUD kakupa CV yake,unaeza jifukia mwenyewe kabla hajakufukia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Alikuwa mshirikina mkuu japo umetaja mazuri yake
 
Wewe ni mwanae mmojawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…