Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

mimi niluwahi kwenda kwa huyo mzee lakini niliogopa kumalizia zindiko la milango saba ya ziwa tanganyika, nikaondoka kwa kutoroka tukiwa mlango wa tatu , nadhani umenikumbusha mbali mno wala hujakosea kitu.
Wala hukuwahi kumfahamu wala wajih wake huujui, wala Kazi zake huzijui wala hukuwahi kuzungumza nae.

Na ikiwa ni hivyo elezea nyumbani kwake kulivyo na namna wageni walivyokuwa wanakaribishwa.

Iwapo we're ni mkweli tufahamishe Kazi zake zilikuwa zinafanywa wapi na nani akizisimamia.
 
Huu nao ni aina ya uongo mkubwa. Alikuwa hadi Bure akiwatumikia watu, na Zaidi wakileta pungufu huwasamehe
 
Juma Njemba hakuwa wa dunia hii...He was something else
Kiukweli katika dua na maombi alijaaliwa sana. Wapo watu waliokuwa wakiwanyanyasa wafanyakazi wageni waliohamishiwa kikazi Kigoma, engine kwa ukirsto wao au kwa ugeni wao. Yeye aliwaita hao ni wanae, aliwatetea mno, kuanzia wakuu wa mikoa, wakuu wa polis, uhamiaji nk.

Hakuna aliyethubutu kumuonea mtu kwa sababu ya ukristo wake eti kwa kuwa miaka ile Ujiji ilikuwa na waislam wengi.

Na hakuna muislam aliyeonewa kwa dino yake au uswahili wake. Leo aitwa Sangoma huyu.

Kaishi vema na Padre Yusuf wa parokia ya Kusini Katubuka. Na kawatetea wakristo chungu tele. Hakuna haki ya kuwanyanyasa akisema " hawa ni watoto wetu, Mungu hana dini, binadamu ndio tuna dini" dini ni njia ya kufika kwake Mungu.
 
Hilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabasele
Lazima utakuwa hujaokoka
 
Nilipofika Kigoma; story zake nilizipata.
Aliogopwa zaidi ya baba wa taifa.
Mtoa mada tiririka tuzijue zaidi.
Mtoa mada hamjui kabisa huyo mtu.

Ingawa watu wa mji wake walimuheshimu mno kuliko walivyomuheshimu Nyerere.
 
Hahaha hahaha hapa nimecheka, Kuna kweli na chumvi kwenye hii story lakini Kuna kitu umesema kweli
 
Ubunifu huo hamna ukweli hapo
 
Uwongo mkubwa
 
LIKUD hiyo ya kufa na hiyo ya kupikwa kwenye pipa alifanyiwa zzk hadi leo ndio maana anajiamini yule mtoto , na ukicheza na zitto kwenye mila anakuondoa , yule dogo alifaidi dawa zile wengine tulishtuka alishakufa.
Hahahahahahaha!!!
Hakika alituacha vizuri watu wa Kigoma sio kwa style hizo za kitoto. Bali Zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…