Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Una akili nyingi sana.
Iwapo Juma Njemba alikuwa mchawi huo utajiri na kuishi Kama yupo peponi ulitokea wapi???????

Njia hata ifichwe na miba itabaki kuwa njia tu
Shehe yahya aliishije?
Pepo tunayoiongelea hapa si kama ile ya utajiri wa kiarabu
 

Issue ya neno "kuletwa" wenye mamlaka ya kulisemea hilo ni familia yake kabisa. Sio issue ya mtaani kwao, maana sina hakika wote waliokuwa mtaani kwake walikuwa wakishuhudia kila alichikifanya na wateja wake. Kwahiyo, haikuondoi wewe kukiri kuwa ni mmoja wa wana familia ya huyo mzee, na zaidi yayote vile una jitahidi kutaja member wafamilia yake.

Katka tarehe yake ya kufa na kuzikwa, na wewe ungeishia kuutaja mwaka tu, basi tusingalifikia kuhoji huku kote na kugundua mawaa. Kwani ni wapi imeandikwa hadi tuandikishiane issue ya tareh yake ya kufa kuwa ni msingi? Lakn kwa namna ulivyojitanabaisha, haiwezekani ukakaosea tarehe ya kufa wala kuzikwa hata kama ungekuwa unaishi mtaa mmoja.

Hata ukisema Njemba alikuwa malaika au ni mdogo wake Mungu, lakini hujasema ni kwanini aliogopwa hivyo? Kweli mtu wa Mungu aogpwe hivyo kwanini, badala ya kuwa kimbilio?
 
Juma Njemba alikua ni zaidi ya mchawi na sidhani km kuna kiumbe wa level yake kwass hapa Tz,,tukiwa wadogo tulikua tunapita nje ya nyumba yake kwa kukimbia kwa hofu yake tu.

Tukiwa shule enzi hizo mtu akikuibia hata kalamu unampiga beat naenda kwa Juma Njemba anarudisha faster.

Na siku alokufa msiba wake ulitangazwa baadhi ya misikiti kgm ujiji kiukweli watu walifurahi baada ya kuhuzunika.

In short Juma Njemba alikua ni zaidi ya Juma Njemba
 
Kwa mtindo wako nacheka. Maana ili uelewe lazima uanze kusoma komenti yangu ya kwanza mpaka hii ninayoandika. Ili dhana zako zirekebike.

Kimantiki unaonekana unaamini kabla ya kuhoji waswahili wanasema kukubali kibubusa. Maana Huna na hautakuwa nalo la kumhoji mzee kachumvi. Ulishaamini sasa unapanga hoja zako kutoka kwenye chanzo ulichoamini kibubusa kwa kuhoji anaekipinga chanzo chako. Mithili ya wakili.

Baki hapo. Wajibu wangu nimeutekeleza.
 
Wewe utusaidie kazikiwa wapi
Aliiishi wapi
Alikuwa na wake wangapi
Amekufa lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…