Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mjini uwe na simanzi kwa kuondokewa na mchawi mkubwa, unajua acha kumtetea huyo baba yako wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mjini uwe na simanzi kwa kuondokewa na mchawi mkubwa, unajua acha kumtetea huyo baba yako wewe!
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mwanawe njemba
Lakini hao wote walikuwa hawaogopeki kasoro yeye.Swali zuri sana!
Huyu kwenye labial lake alikuwa ni chief, na alikuwa ni mkuu wa ngoma za makabila yake pia, acha Kigoma alikuwa ni chief wao kwa Tanzania hii, toka ikiitwa Tanganyika. 1963 Kama sikukosea nchi yetu ilifuta utaratibu wa kuwatawalisha machifu.
Lakini baadhi ya Jamii ziliendelea kuheshimu. Kama Chief Fundikira wa Nyanyembe, au Mtwa Adam Sapi, Chifu Burito wa Zanaki nk.
Yeye alikuwa chifu wao. Hivyo kwa kadiri jamii ya labial lake walivyomuheshimu, kwa kadiri ya tabia zake kwa watu wake ndivyo pia jamii kwa upana walimchukulia hivyo.
Katika tabia ninazozijua alikuwa mtu mkali sana, mwenye sauti Nene. Hivyo akikemea kwa sauti ya ukali unajua tu hapa mziki mnene.
Jina la Njemba alipewa akiwa katika umri wa Kati kwenye miaka baina ya 1947 na sitini mwanzoni, huyu alikua msanii miaka hiyo wa ngoma za kirua, aliigiza walivyokuwa wakicheza.
Pia alikuwa msanii wa vichekesho kwenye stage, na aliwahi kuwa kamanda wa TANU YOUTH LEAGUE miaka ya TANU.
Ushahidi wa haya muulizeni Meya wa Zamani wa Mji wa Kigoma Ujiji Mzee Abdallah Shaabani Tofiki. Anajua Zaidi kwa ni shuhuda wa hayo. Au mzee Ramadhani Anzuruni (KIBOKO) mzee aliyesalia kwa umri mkubwa katika eneo alilokuwa akiishi Juma Njemba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ray utapotezwa shaur akiMmhh!damu nzito aiseehh!!
Basi huyo ndio aliyeheshimiwa mno Chief wa Wahombo wa Ujiji. Kuhusu kuogopewa watu wa Kigoma Ujiji hawaogopi mtu na hawakuwahi kumuogopa mtu wao huogopa Mungu tu. Muulizeni Zitto KabweLakini hao wote walikuwa hawaogopeki kasoro yeye.
Machief wengi tunajua walikuwa warozi.
Zitto mwenyewe mchawi.Basi huyo ndio aliyeheshimiwa mno Chief wa Wahombo wa Ujiji. Kuhusu kuogopewa watu wa Kigoma Ujiji hawaogopi mtu na hawakuwahi kumuogopa mtu wao huogopa Mungu tu. Muulizeni Zitto Kabwe
HahahahahahahaZitto mwenyewe mchawi.
Sina la kumuuliza.
Amani mkuu.
hahaha nimekupenda bureSasa kwanini unadhani unafaa tukuamini?
1.Umefail kwny tarehe yake ya kufa na kuzikwa
2. Ulichioweza ni kuleta majina na idadi ya familia ya huyo Juma, ambayo ni ngumu kwa yyte humu ku verify kama usemacho ni kweli.
3. Umejikita only kuongea positive side bila ya angalau kijihusisha na anacho kiongea mleta mada na member wengine humu waliofika kilingeni kwake na kukubaliana na Likud
4. unakanusha tu anachosema Likud basi, yaani kama kuna kitu au jambo hutaki lisimwe
[emoji23][emoji23]Hamjamuumbua
Mnatupa distraction kwenye uzi.
Kafungueni wa kwenu na nyie mueleze ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watu wa kigoma kwa ubishi hakuna hapo sahiv wanavuta pumnzi kwanza hii ligi ndio kwanza imeanza hii wanaweza bishana mwaka mzima hapa..
Kwani wewe unazo ziko sehem Gani?Hivi we jamaa una akili kweli?kuna mtu anaweza kusema baba yake alikua muuaji au mshirikina?
sasa mbona hujibu? 24/11/2007 ilikua jumamosi na sio kama ulivosema wewe...Hii huiita akili kubwa Mara zote.
Hapa suala ni fact tu.
Matusi hayana fursa kabisa!
Nakubali fikra chanya.
Ndo maana wanamtetea hapa wanatetea uovu jamani!!tena wapo kabisa waliowahi mpk kwenda kwa huyo mzee kuaguliwaPia yawezekana maushirikina hayo yamewaletea laana na mabalaa au vifo katika koo yao na umaskini.
Hivyo hawataki kusikia kabisa.
Kwa msingi huo aliyekuwa anaua ni Juma Njemba au hao waliokwenda kutimiza azma za kuua wenzao?ukikubali afe haraka mzee alikua na kisu kikali sana unachukua unachoma kichwani wewe mwenyewe basi mbaya wako kule muda huohuo anaaga dunia na ukisema afe taratibu achukue hata siku tatu walau wapeleke hospital wauguze kidogo ulikua unapewa sindano na kitambaa kwahiyo kile kitambaa kinalowana na kinalazwa kifuani kwenye kio kwenye ile sura ya mbaya wako unakua unachoma moyo taratibu huko mbaya wako anazidiwa kesho unachoma tena huko unasikia fulani hali mbaya ukija kumalizia sindano ikigonga kioo na mtu kwaheri.
Kiswali kidogo lakini kizitooooo....!Kwa msingi huo aliyekuwa anaua ni Juma Njemba au hao waliokwenda kutimiza azma za kuua wenzao?
Sahihi haitaki wafuasi inajisimamia kwa kuwa kwake sahihiAlikua mushriki usimtetee kaka!we peke yako ndo umtetee...!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Zitto mwenyewe mchawi.
Sina la kumuuliza.
Amani mkuu.
Machifu ni wachawi mno!!Lakini hao wote walikuwa hawaogopeki kasoro yeye.
Machief wengi tunajua walikuwa warozi.
Suala binafsi hujazuiwa hajui lolote si Njemba tuuu hata ya ujiji yenyeweHapana, binafsi bado namuamini LIKUD