Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Kwenye issue ya koti ofisini kuna alilosema la kweli na lipo hakusema kweli nenda kasome komenti yangu vema.

Kweli ni kukamatwa kwa mwanae kwa kutuhumiwa kuzurura

Isiyo kweli ni kutundikwa kwa koti
Zaidi issue hiyo ya koti Ujiji ni maarufu sana kwa wazee Zaidi ya mmoja kiasi watu walishaamini kuwa hizo ni ngano zinazohusishwa na watu Fulani kuwakuza au kuwapa utajo kuwa ni wenye nguvu za miujiza.

Sasa kwanini unadhani unafaa tukuamini?
1.Umefail kwny tarehe yake ya kufa na kuzikwa
2. Ulichioweza ni kuleta majina na idadi ya familia ya huyo Juma, ambayo ni ngumu kwa yyte humu ku verify kama usemacho ni kweli.
3. Umejikita only kuongea positive side bila ya angalau kijihusisha na anacho kiongea mleta mada na member wengine humu waliofika kilingeni kwake na kukubaliana na Likud
4. unakanusha tu anachosema Likud basi, yaani kama kuna kitu au jambo hutaki lisimwe
 
Salaam.
Nimeona namie ntie japo ka-uneno.
Kwa kanuni za maumbile ni kawaida mtu mmoja kufahamika kwa watu wengi kuliko yeye kuwafahamu wao wote.
Hivyo,linapokuja suala la kusema juu ya "fulani'',ni wazi kuwa ni wengi watakaokuwa wakiyajua mambo mengi kumhusu be it -vely/+vely.
Pamoja na kuwa uzi huu umeanzishwa moja kwa moja ukilenga the dark side ya huyo mzee tajwa,kufanya hivyo hakufungi malango sisi wasomaji kufunuliwa the opposite side.
Matumizi ya lugha iliyojaa staha ni fani inayoutajirisha uchangiaji wa mtu,hivyo kuepuka kukarahisha. Kwa kuwa kumeshakuwa na 2 sides katika uchangiaji,matumizi ya lugha chafu kama ambavyo imepata kutokea huweza kutafsirika kama dalili ya ku-loose battle.
Nashauri main speakers of both sides kutupatia hivyo wanavyoviita nondo,hiyo minyuko na minyukano yao watakutana pm.
Wa salaam.
 
Mbona wana Kigoma wengi tu humu wameconcur hiyo stori! Acheni kumtetea marehemu mchawi
Majority humu wanakubaliana na story tena kuna member mmoja alisema alikuwa mteja wa huyo mzee, ila walipofika mlango wa tatu akatoroka!

Nachojiuliza why wooote hao wamsingizie?

Lakini cha kujiuliza, ni kwanini aliogopeka sana jambo ambalo hata huyo anayetetea anakiri, kwahiyo kama alikuwa mwema na mtenda haki kiasi hicho, why aogopeke?
 
Nyote mlihadithiwa lakini hamkumuona, hamkuzungumza nae, hamkumuhoji, yaani nyie ni "third hand information" na bado mnaushawishi umma uwaelewe kuwa mlichoambiwa ni kweli.

Nacheka[emoji6][emoji847][emoji6]
Watembeleeni wachamungu mpate kuondolewa nira mashingoni mwenu.
Kwani Muhammad umewahi kumwona au imehadithiwa tu?Au aliwahi kuzungumza naye?
 
Hawataki uchaw
Sasa kwanini unadhani unafaa tukuamini?
1.Umefail kwny tarehe yake ya kufa na kuzikwa
2. Ulichioweza ni kuleta majina na idadi ya familia ya huyo Juma, ambayo ni ngumu kwa yyte humu ku verify kama usemacho ni kweli.
3. Umejikita only kuongea positive side bila ya angalau kijihusisha na anacho kiongea mleta mada na member wengine humu waliofika kilingeni kwake na kukubaliana na Likud
4. unakanusha tu anachosema Likud basi, yaani kama kuna kitu au jambo hutaki lisimwe

Hawataki uchawi na ushirikina ea nzee wao uongelewe kwa sababu wanajua madhila yake kaburin!ila hawamsafishi zaidi wanamteketeza tu!
 
Tens tumemuumbua vibaya!!
Katika dunia ya Leo kuleta story za "Zombi mla watu" ni mtihani sana. Haijalishi muislam au mkristo ukiwa mtanzania ukaamini kuwa kuna mtu alikuwa na power ya uzushi ya kubuniwa na kupachikwa , jikague hutoshi ama kuna upungufu wa afya ya makuzi, au kuna ujazo wa elimu hewa.

Iwe mzee huyo alikuwa ndugu yangu, iwe alikuwa jirani yangu, iwe vyovyote bado hakuwa na matendo aliyonasibishwa mayo katika uzi huu, hakuwa mchawi wala hakudhulumu maisha ya watu
Kama hakuwa na power yeyote,aliwezaje kuheshimika sana na kutetea wanyonge kama usemavyo??
 
Tens tumemuumbua vibaya!!
Katika dunia ya Leo kuleta story za "Zombi mla watu" ni mtihani sana. Haijalishi muislam au mkristo ukiwa mtanzania ukaamini kuwa kuna mtu alikuwa na power ya uzushi ya kubuniwa na kupachikwa , jikague hutoshi ama kuna upungufu wa afya ya makuzi, au kuna ujazo wa elimu hewa.

Iwe mzee huyo alikuwa ndugu yangu, iwe alikuwa jirani yangu, iwe vyovyote bado hakuwa na matendo aliyonasibishwa mayo katika uzi huu, hakuwa mchawi wala hakudhulumu maisha ya watu
Wala hamjafanikiwa, stori tumeiamini kama ilivyoletwa, hizo chai zenu kanyweni wenyewe!
 
Back
Top Bottom