Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani


Wajibu wako kama member wa familia yake kikweli umeutekeleza vyema sana, na popote alipo anaona hilo kwa namna ulivyo jitahdi kumtetea! Hata mimi ningefanya kama wewe, katika kumtetea mzazi wangu japo umeshindwa kijificha wewe ni nani wake, ningefanya same as you!

Hapo juu ya comment yako, yupo member mwingne amakuja kutoa ushuhuda kuwa, kipindi kinatangazwa kifo cha huyu mzee, misikiti mingi au karibu yote huko watu walishangilia.....kauli inayo endana na mtoa mada!
Baadhi ya maswali ulioshindwa kutufafanulia, ni kuwa inakuwaje malaika au mtakatifu wa aina yake akaogopwa kiasi hicho? Kwanini watu walishangilia? Kuna anaye shangilia kifo cha mtu aliye mwema na alie msaada kwa jamii au the opposite?

Kabla hujamaliza, ningependa uiandike tena tarehe yake aliokufa ili ikae kwnye rekodi humu mkuu!
 
Tunasubili
 
Hofu ya Simba ni kubwa na ya kutisha kuliko Simba mwenyewe..

Aghalabu, habari za wachawi zilituogopesha kuliko uhalisia wa mchawi mwenyewe alivyo. Mambo mengi tunayakuza pasipo na ushahidi.
 
Juma njemba ni kweli nami namfahamu , ila alikuwa haonyeshi ukatili , nachojua uganga alikuwa ana ufanya sana, sifa kubwa ya juma njemba ni uganga . mtu hatari ni yule mzee wa gungu baba yake na shuhuli ,,, maana mzee aliogopewa sana . ujiji inajulikana kwa uganga wa kiislamu zaidi .
 
Mara siku moja akaja mzee wa heshima zake kapigilia kanzu na kofia ktk meza ya mama mmoja aliyekuwa akijishugulisha na kuuza samaki soko kubwa Ujiji. Kisha yule mzee akauliza kwa kumtaja jina la yule muuza samaki: wewe ndiye fulani (jina la muuzaji). Yule mama akaitikia ndiyo mimi baba. Yule mzee akaanza kulalamika huku akiondoka akisema watu wengine bwana huyu (fulani) sasa ana nini masikini, anatafuta riziki yake hapa. Yule muuza samaki akabaki anashangaa wakati yule mzee anaondoka huku akimlaumu aliyemsotea huyo mama.

Ndiyo watu wengine waliokuwa wakifanya biashara hapo wakamuuliza yule mama; unamjua huyo mzee? Yule mama akajibu simfahamu. Akaambiwa huyo ndiye JUMA NJEMBA. Yule mama akashikwa na khofu kubwa juu ya maisha yake ingawa mzee alikuwa tayari kapuuza kazi aliyokuwa kapewa.

Inaonekana kuna mtu alimfuata Juma Njemba ili ammalize huyo muuza samaki.
 
Third hand information ni hatari ukitumia Kama rejea kwa jambo usilolijua

misikiti ilishangilia

Ujiji si kijiji hata useme misikiti yote ilishangilia haya muulize
misikiti gani Ilishangilia

Unajua maana ya kushangilia?
 
Na hata aliesema wapo waliosoma, pia amedanganya tarehe yake na siku yake ya kufa!
Wake Mia 2
Aliua watu 2000
Aliishi Kama mungu
Aliishi Kama yuko peponi

Wakati zake akiichana nao hufa
Wakati mke wa Mzee njemba yu hai mpaka Leo
Kwako hizi si tatizo Kuliko Aliyekose utajo wa siku
 
Nakumbuka kina joti na mpoki ktk kipindi chao cha ze comed wakati bado wa eatv
Waliwahi kwenda kigoma na joti akaigiza kuwatisha wenzake kuwa amuogopi mtu kwani yeye yupo karibu na uyo mzee.
Hii inaonesha kuwa wakazi wa kigoma ujiji waliwaapa history ya huyo ndio maana wakamuigiza.
Huyo mzee inaonesha alikuwa mtu hatari.
Najaribu kuitafuta hicho kipande cha the comedy ktk YouTube kinakataa.
Nikifanikiwa nitakiketa humu
 
True kuna wazee walikuwa magwiji haswaa usipime,wazee wa kutundika koti hewani,
Hii niliambiwa walimfanyia Makamba alipoenda kule as RC..... Kisa akiwaambia waache kukaa kunywa kahawa wajishughulishe na kilimo... Nasikia Makamba akarudi kujiweka sawa, aliporudi tena kigoma akawaita ofisini kwake.. Wakawa wanarusha makoti yao badala yasimame yanaanguka... Ikabidi wasalimu amri waanze kujishughulisha.

Hebu nithibitishieni, ya Kweli Haya????
 
Ni kama Brand flanihivi...Mtu mmoja anajaribu kuiharibu na mtu mwingine anajaribu kuitetea, maana Njemba katumia miaka mingi kuitengeneza Brand yake na Familia yake, anapotokea mtu mmoja akaiharibu lazima moto uwake period!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…