Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

mambo kama haya huwez yasikia kwetu kaskazn
cc
chuma cha mjerumani
mjumbe wa bwana
Upepo wa Pesa
mimi ni mtu wa mikoa nyanda za juu kusini, shughuli zangu ni za kusafiri hapa na pale.

kuna wakati nilibahatika kwenda machame,nilichokiona huko kuhusu maendeleo ya mtu mmoja mmoja kilinifanya niwe nawa admire sana watu wa mkoa wa kilimanjaro na bidii yao ya kutafuta pesa

mwenyeji wangu alinitembeza ili nijionee majumba ya kifahari ya wamachame yaliyojificha kwenye vichaka vya migomba ya ndizi na kunitajia majina ya watu wa koo maarufu za machame zinazomiliki majumba hayo.

kwa siku nilizokaa machame sikusikia kabisa kuhusu hekaya za uchawi,ushirikina au mtu kalogwa.
 
asante kwa kusema ukweli,wengi hawapendi kusikia jinsi wana Kilimanjaro walivyopendesesha mkoa wao umenikosha sana MKUU
instanbul
Laliga
MENGELENI KWETU
Rweye
chuma cha mjerumani
 
Yajayo yanafurahisha... Ya kipindi hicho yalistaajabisha 😱😱😡
 
Elimu, elimu, elimu. Shule ni muhimu sana kwenye kuondoa ujinga, ujinga huambatana na ushirikina na magonjwa.

Vv
 
Hapa ndo umeniaminisha weww ndo yule mwandishi..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…