Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Mimi nakuamini wewe kuliko Likud.. kwasababu upo na details na evidence. Ameona amekushindwa kwenye facts anaamua kukutukana na kukuchafua. Shame
 
Juma njemba ndie aliyemsaidia zabron wa Gambosh kumpa kimvul chase hatar uyu jmaa
 
Hamjamuumbua
Mnatupa distraction kwenye uzi.
Kafungueni wa kwenu na nyie mueleze ukweli.
Argument za mtu mjinga... mnapenda sana story za kwenye kahawa ambazo zinaendana na fantasy zenu kichwani. Mtu akileta facts za kuanzia jina la mtaa, majina ya wake zake, majina ya watoto wake nk.. hamtaki kabisa kwasababu mlishaingia kwenye"uumini" wa story za kijinga. Facts hazina maana tena kwenu. Ndo maana manabii wanaibuka kila siku na nyinyi ni bora mfe lakin muwaamini.
 
Wewe humjui Juma Njemba wacha ulaghai
Abufizzer ametaja kuanzia
1) Rangi ya nyumba aliyokuwa anaishi
2) Mtaa aliokuwa anaishi
3) Majina ya wake zake wote na walipotokea na alizaa nao watoto wangapi
4) Majina ya watoto wake, shule walizosoma na walipo sasa hivi
5) Tittle yake kama chief wa kabila na jina la kabila.

Lakin nikiangalia wewe hakuna facts yoyote unayotoa zaidi ya kutukana na kuita watu matapeli, kila saa ukiahidi kuleta "nondo" ambazo huleti. Wewe kubali tu humfahamu na hujawahi kumuona wala kuishi nae mtaa mmoja,umezisikia tu story zake kwenye vijiwe vya kahawa. Facts zikaonekana, na mboyoyo maneno matupu ambayo haziwi backed na facts zinaoneka ambazo ni zako. Kubali kujifunza na kuwa humble. Kila mwenye critical thinking anaona Abufizzer anamfahamu vizuri kuliko wewe.
 
Umemaliza, Mimi napigia mstari tu. Na mods wameshampa reward yake ya ban.
 
Sasa na wewe tuthibitishie kuwa alioa wake zaidi ya 200, alikuwa akiwa anakula akitafuna mchanga tu anatoa talaka 3, wake aliokuwa anawaacha wanakufa soon baada ya kuachwa au kuwa vichaa, alimuua baba wa mtoto kisa mtoto alikataa chungwa na alisema kuwa baba yao amewakataza wasile kwake na siku hiyo mvua ilinyesha kubwa sana, eti Pepe Kalle alikuwa ana uchawi wa kwenda kuzimu na kurudi..
Mtu akija kuweka story sawa kwa data na facts anaonekana ni tapeli anaetaka watu waende kwenye pm yake, anaonekana ni ndugu anaetetea uovu wake. Kukosea tarehe ya zaidi ya miaka 15 iliyopita inakuwa key issue.. Kwanini msibishe pia kwenye jina la mtaa, majina ya wake zake na watoto wake, rangi ya nyumba yake? You are so lame!
Yaani ni mastory ya kijinga tu, na wajinga bora wafe lakin wamtetee Likud na uongo wa story za kuambiwa. Sasa prove na wewe Abufizzer ni muongo kwa facts
 
Juma Njemba hakuwa wa dunia hii...He was something else
Nakubaliana na wewe ni babu yangu huko kwenye ukoo jamaa ilikuwa ukienda kwake anakuambia unataka alione jua la kuzama la kuchomoza asione au unataka alione la kuchomoza la kuzama asilione alikataa kusali kweli akiona yeye wa motoni baba yangu mkubwa alifukuzwa kazi shirika flani miaka hio ya 80 akamfata mjomba wake juma akamwambia kuna dawa nitafanya kila atakae kalia kiti chako atakufa babu alikataa shemeji usifanye hivyo nakubaliana na wewe kabisa kuna watu huku Dar huniambia babu yenu alikuwa wanawake tunamuogopa sana.
 
Inaonekana umemuongelea kwa kumpamba mtu aliyekuwa mshirikina.
 
Nini?

Mambo hayo yalikuwepo nchi hii?

Wachawi wana nguvu kuizidi Serikali?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Japo mimi siyo Mchaga, lakini nafikiri walichofanya Wachaga kilikuwa sahihi kwa upande wao.

1. Hawakumsaliti mtu. Kabla ya uhuru, inasemekana Uchagani ilikuwa nchi yenye utawala wake hivyo walikuwa na uhuru wa kuamua watu wa kuwakaribisha kwenye ardhi yao na kinyume chake.

2. Wachaga mi kati ya jamii zinazopenda kufanya biashara. Inawezekana, walijua kuwa kuwakaribisha wageni kutastawisha shughuli zao za kimaendeleo.

3. Mwisho wa siku, kwa kuzingatia ile kauli isemayo "the end justifies the means", Wachaga wapo sahihi. Maamuzi yao yamewanufaisha wao na vizazi vyao.

Ndiyo maana, ukilinganisha maendeleo ya waliowapokea Wakoloni wa Kizungu na ya waliojifarakanisha nao kuna utofauti mkubwa sana. Wazungu walichochea maendeleo kwenye maeneo walikokaribishwa.
 
Gily Gru Nourhan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…