Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Fafanua best

sawa, wanasema kwamba kuna siku ilitokea jamaa ameingia kwenye chumba alichokuwa anafanyia dawa zake akazitengeneza alafu akafa, baada ya siku kadhaa mke wake akaenda kwenye hicho chumba akamkuta mzee kaoza
mkewe akalia (kitu ambacho hakupaswa kufanya kwa mujibu wa sharti la waganga) sasa kitendo cha yule mwanamke kutokwa machozi jamaa hakuamka tena akapitiliza , ila kabla ya hapo alikuwa anakufa na kuoza alafu badae anafufuka akiwa humo chumbani bila ya watu tofauti na mkewe kujua
Hii ni kwa mujibu wa wana JF na baadhi ya wacongo
 
Kuna yeyote alitapeliwa na Abufizzer????

Je LIKUD Aliendelea kusimulia habari za Mzee juma Njemba???

Moja katika wake zake na Marehemu Mzee njema amezikwa mwaka jana mwishoni nchini Burundi kwa maradhi na uzee....... Mungu awasamehe kwa madhaifu yao wakati wa uhai wao
 
sawa, wanasema kwamba kuna siku ilitokea jamaa ameingia kwenye chumba alichokuwa anafanyia dawa zake akazitengeneza alafu akafa, baada ya siku kadhaa mke wake akaenda kwenye hicho chumba akamkuta mzee kaoza
mkewe akalia (kitu ambacho hakupaswa kufanya kwa mujibu wa sharti la waganga) sasa kitendo cha yule mwanamke kutokwa machozi jamaa hakuamka tena akapitiliza , ila kabla ya hapo alikuwa anakufa na kuoza alafu badae anafufuka akiwa humo chumbani bila ya watu tofauti na mkewe kujua
Hii ni kwa mujibu wa wana JF na baadhi ya wacongo
Sasa kama alikuwa mke wake kazoea kumuona anaoza kilichomfanya akalia siku hiyo ni nini?
 
Mtaa wa recreation kwa mbele yake
Ok, sawa sawa, ile njia ya kwa mkuu wa wilaya, unashuka nayo kwenda mbele kule. Ila jamaa wa Kioma in general ni wazuri kwenye masuala ya giza. Mpaka ninapoandika ujumbe huu, kuna dogo yupo pale Kamilanzovu Kibondo (karibu na stendi mpya), huwa anazuia mvua isinyeshe eneo fulani akiamua. Ukiwa na ishu yako kama sherehe, msiba ama tukio jingine na kuna dalili za mvua, ukimshikisha mshiko kidogo anazuia eneo lako tu, haitanyesha hapo tu. Kwingine inanyesha kama kawaida.
 
Ukitaka hzo shughuli za mvua nenda katanga bukiriro huko ni hatari.... nakumbuka nlikaa kule kama miez minne hv aisee kuna wazee mafundi sana mvua zilikuwa haznyeshi hadi kuna siku serikali ya kijj ilibidi iwakamate wakawatishia kiwapiga nakumbuka ilikuwa imepita chrismass wazee wakasema nyie si mnatudharau sikuu imepita hamjatununulia pombe. Bac baada ya kuwapiga biti la nguvu wazee ndio wakakubali baada ya lisaa wale wazee kuachiwa ilishuka mvua hatari.

Kule ni normal kuona mvua inanyesha alafu unamuona mzee anatemebea ila hanyeshewi
 
Ok, sawa sawa, ile njia ya kwa mkuu wa wilaya, unashuka nayo kwenda mbele kule. Ila jamaa wa Kioma in general ni wazuri kwenye masuala ya giza. Mpaka ninapoandika ujumbe huu, kuna dogo yupo pale Kamilanzovu Kibondo (karibu na stendi mpya), huwa anazuia mvua isinyeshe eneo fulani akiamua. Ukiwa na ishu yako kama sherehe, msiba ama tukio jingine na kuna dalili za mvua, ukimshikisha mshiko kidogo anazuia eneo lako tu, haitanyesha hapo tu. Kwingine inanyesha kama kawaida.
Yes cku hz naona kuna mwanae anafanya hzo shughuli
 
Back
Top Bottom