witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Hii ni kweli hata mi nimeshuhudia[emoji848]Wachawi huwa wanakufa vifo vya mateso sanaaaa....
Na wengi wao huwa wanaanza kuoza Kwanzaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli hata mi nimeshuhudia[emoji848]Wachawi huwa wanakufa vifo vya mateso sanaaaa....
Na wengi wao huwa wanaanza kuoza Kwanzaa...
Fafanua bestndio wanadai hiyo siku mkewe alimuona akalia hivo jamaa akaenda kimoja
Fafanua best
Sasa kama alikuwa mke wake kazoea kumuona anaoza kilichomfanya akalia siku hiyo ni nini?sawa, wanasema kwamba kuna siku ilitokea jamaa ameingia kwenye chumba alichokuwa anafanyia dawa zake akazitengeneza alafu akafa, baada ya siku kadhaa mke wake akaenda kwenye hicho chumba akamkuta mzee kaoza
mkewe akalia (kitu ambacho hakupaswa kufanya kwa mujibu wa sharti la waganga) sasa kitendo cha yule mwanamke kutokwa machozi jamaa hakuamka tena akapitiliza , ila kabla ya hapo alikuwa anakufa na kuoza alafu badae anafufuka akiwa humo chumbani bila ya watu tofauti na mkewe kujua
Hii ni kwa mujibu wa wana JF na baadhi ya wacongo
Alikuwa Kibondo sehemu gani?Ukiachana na Juma Njemba kuna SALUM NSUMI alikuwepo pale kibondo.... Huyu na nae acha kabisa.. watu wakibondo nazani wanielewa hapa
Mtaa wa recreation kwa mbele yakeAlikuwa Kibondo sehemu gani?
Ukiachana na Juma Njemba kuna SALUM NSUMI alikuwepo pale kibondo.... Huyu na nae acha kabisa.. watu wakibondo nazani wanielewa hapa
WapiHii ni kweli hata mi nimeshuhudia[emoji848]
HapoWapi
Ok, sawa sawa, ile njia ya kwa mkuu wa wilaya, unashuka nayo kwenda mbele kule. Ila jamaa wa Kioma in general ni wazuri kwenye masuala ya giza. Mpaka ninapoandika ujumbe huu, kuna dogo yupo pale Kamilanzovu Kibondo (karibu na stendi mpya), huwa anazuia mvua isinyeshe eneo fulani akiamua. Ukiwa na ishu yako kama sherehe, msiba ama tukio jingine na kuna dalili za mvua, ukimshikisha mshiko kidogo anazuia eneo lako tu, haitanyesha hapo tu. Kwingine inanyesha kama kawaida.Mtaa wa recreation kwa mbele yake
Nenda katanga kuna bibi ni fundi sana jina limenitoka ila kunawatu wanatoka had nje ya nchi kumfuataWadau Wa Kibondo,kasulu na Kigoma kwa Ujumla Kwa Saiv ni Mganga yupi Anasifika mwenye Kusaidia watu Hasa Utajir Nikamuone Plz
Mganga wa kusaidia na kupata utajiri ni KUFANYA KAZIWadau Wa Kibondo,kasulu na Kigoma kwa Ujumla Kwa Saiv ni Mganga yupi Anasifika mwenye Kusaidia watu Hasa Utajir Nikamuone Plz
Ukitaka hzo shughuli za mvua nenda katanga bukiriro huko ni hatari.... nakumbuka nlikaa kule kama miez minne hv aisee kuna wazee mafundi sana mvua zilikuwa haznyeshi hadi kuna siku serikali ya kijj ilibidi iwakamate wakawatishia kiwapiga nakumbuka ilikuwa imepita chrismass wazee wakasema nyie si mnatudharau sikuu imepita hamjatununulia pombe. Bac baada ya kuwapiga biti la nguvu wazee ndio wakakubali baada ya lisaa wale wazee kuachiwa ilishuka mvua hatari.Ok, sawa sawa, ile njia ya kwa mkuu wa wilaya, unashuka nayo kwenda mbele kule. Ila jamaa wa Kioma in general ni wazuri kwenye masuala ya giza. Mpaka ninapoandika ujumbe huu, kuna dogo yupo pale Kamilanzovu Kibondo (karibu na stendi mpya), huwa anazuia mvua isinyeshe eneo fulani akiamua. Ukiwa na ishu yako kama sherehe, msiba ama tukio jingine na kuna dalili za mvua, ukimshikisha mshiko kidogo anazuia eneo lako tu, haitanyesha hapo tu. Kwingine inanyesha kama kawaida.
Yes cku hz naona kuna mwanae anafanya hzo shughuliOk, sawa sawa, ile njia ya kwa mkuu wa wilaya, unashuka nayo kwenda mbele kule. Ila jamaa wa Kioma in general ni wazuri kwenye masuala ya giza. Mpaka ninapoandika ujumbe huu, kuna dogo yupo pale Kamilanzovu Kibondo (karibu na stendi mpya), huwa anazuia mvua isinyeshe eneo fulani akiamua. Ukiwa na ishu yako kama sherehe, msiba ama tukio jingine na kuna dalili za mvua, ukimshikisha mshiko kidogo anazuia eneo lako tu, haitanyesha hapo tu. Kwingine inanyesha kama kawaida.