Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Hii ndo nasikia leo Mwanalugondo alikuwa mke wa Juma Njemba Mwanalugondo alikuwa jirani yetu Igogo Mwanza Ila hajafa 2000 itakuwa 2002,alisifika kwa uchawi tulimuogopa mtaani hakuwa na kazi biashara Ila pesa anazo na kuvaa kanga mpya kila siku kwa mzee Mabruki analeta kupindiwa na mtoto wa Rashid Mwinuka, hii ya kuolewa na Juma ni mpya kwangu sababu bibi yangu Juma alikuwa kama kaka yake na Baba akimuita Juma Njemba mjomba Ila sijawahi kusikia kamuoa Mwanalugondo.
 
Balichako umenikumbusha mbali na baiskeli yake alikuwa anatuita mchumba akija nyumbani na madrasa tulisoma nyumbani kwake Kuna kipindi nilienda Mwanza nikaenda kumuona, walikuwa wanasema mchawi Ila sijawahi kuwa na uhakika Ila Mwanalugondo alikuwa hatari kwake ukienda yuko kizani, Ali Zaidi sijawahi kusikia sifa yake ya uchawi ndo na kusikia wewe, bado wapo hai yeye na Balichako Ila Kivuruga kafariki, Sheikh Mambosasa, Ibrahim Chake, juzi kati kafariki Cobra Igogo imeisha.
 
Sheikh Mambosasa amefariki?
 
Ndio hata 40 bado.
Don't tell me that u know what? Nimetembea Tanzania nzima kufanya tafiti kuhusu uchawi nimeenda sehemu zinazo sifika kuhusu uchawi Mwanza nilikuja hadi huko Igogo huyo Sheikh Mambosasa nilifanikiwa kukutana nae si ana binti Yake anaitwa Halima kitu kama hicho? Amefariki lini huyo Mzee? Alinisaidia mambo mengi Sana
 
Yes Halima shombe shombe flani hivi tulisoma wote Madrasa kwa Mwalimu Chake, haya ulimjua Baba yake Kassim Swedi, Mzee Swedi alikuwa noma alitoka ujiji akaja Mwanza jirani na Mwanalugondo alikuwa anapunga majini kufichua mkoba wa uganga.
 
24/12/2024 akazikwa 25/12/2025
 

Attachments

  • Screenshot_20250123-225450_1.jpg
    174.7 KB · Views: 2
Umefikia wapi kwenye utafiti wako wa uchawi?..na ubatafuti nini haswa kwenye uchawi?
 
Yes Halima shombe shombe flani hivi tulisoma wote Madrasa kwa Mwalimu Chake, haya ulimjua Baba yake Kassim Swedi, Mzee Swedi alikuwa noma alitoka ujiji akaja Mwanza jirani na Mwanalugondo alikuwa anapunga majini kufichua mkoba wa uganga.
Halima kaolewa?..napenda shombeshombe
 
Nimesoma uzi wa Likud na pia wachangiaji wengine,nazaliwa nakuwa nilikuwa nasikia sifa za Juma Njemba kupitia kwa bibi yangu Maharusi Bint Juma Nyembo mzaliwa wa ujiji wahombo street alikuwa anamuita Juma Njemba kaka alikuwa akisimulia story za uganga wake akisema anauwa kwa wale waloenda kumaliza mtu unachagua aone jua lipi la kuchomoza au kuzama hata baba yangu watu walikuwa wakimkera utasikia wana bahati mjomba wangu Juma Njemba kafariki, ndugu wa uvinza na ujiji walikuwa wanaleta habari zake sasa hasali hafungi anasema yeye wa motoni,sijui kweli sikweli,Ila Baba yangu Mkubwa Juma Kambi alifanyiwa figisu kazini TRC Juma Njemba akamwambia mjomba usijali hicho kiti hatokaa mtu yoyote kila atakae kalia atakufa Babu Mzee Rajab Kapande akakataa hapana shemeji usifanye hivyo,naamini Story ya Likud Ina chumvi Ila Abu Hafizer naona moja ya watu wa karibu anasimama na kauli ya Mtume marehemu hasemwi kwa ubaya hakuwa saint alikuwa mganga wa kazi zote nzuri mbaya ndo maana aliogopwa Allah marehemu na kumswamehe.
 
Hiyo ya mahhawa natamani kuijua maana mmmmh
 
24/12/2024 akazikwa 25/12/2025
Innah Lilahi wa innahlilahi rajiun🙏🙏🙏

Poleni Sana wana Igogo. Huyu shekhe namfahamu sana yeye na watoto wake mmoja anaitwa Mohamed, Halima na Zai kama sikosei.

Nilizunguka Igogo yote kusaka uchawi na wachawi na nilifanya interview na mashekhe karibu wote wa Igogo plus watu maarufu kama akina Shekhe Sambamba hata huyo Kassim Sued pia nilisikia habari zake pia.
 
Yes Halima shombe shombe flani hivi tulisoma wote Madrasa kwa Mwalimu Chake, haya ulimjua Baba yake Kassim Swedi, Mzee Swedi alikuwa noma alitoka ujiji akaja Mwanza jirani na Mwanalugondo alikuwa anapunga majini kufichua mkoba wa uganga.
Kassim Swedi nilisikia habari zake lakini sikufanikiwa kuonana nae ila kwake nilionyeshwa. Kassim Sued alikuwa na Nini?
 
Kuna uhusiano gani Kati ya uchawi na uisilamu maana naona majina ya hao wachawi yana element za uisilamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…