Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830
Katika taarifa ya habari ya BBC jioni hii amesikika Mhe.Juma Nkamia amempiinga waziwaazi Rais Magufuli kuhusiiana na hoja ya kutaka kuongezewa muda wa Urahisi toka miaka 5 mpaka miiaka 7!


Nkamia amesema atawasiliiana na Spika kuona namna atakavowasillisha hoja yake hiyo!

Pamoja na Rais Magufulii kuwatangazia Watz kupitia K/Mwenezi Bw. Polepole kuwa JPM hafurahishwi na mjadala huo wa kutaka aongezewe muda!!!!

Hoja ya Ngamia haina mashko anapodai ati Serkali inatummiia mabiilionii kwenye chaguzi kiila baada ya miaka 5!!! Ngamiia ni mnafiikii na hana adabu!!!Watz wangelimwelewa angelihoji kuhsu chaguzi ndogo za marudiio zinazokula mabiliionii kwa uzembe tu........!!!

Swali ni, Je, nani yuko nyuma ya huu upuuzi anaong'ang'ania Nkamia??Kama Mbunge wa CCM anapingana na Rais na Mwenyekiti wake wa Chama kwanini tusimwite MCHOCHEZI????
 
Huyu mbunge anafahamu kuwa kuna watu wengi sana wataudhika kwa kubadilisha Katiba ili kuwaongezea watu akiwemo yeye muda wa kubaki madarakani. Huu ni uchochezi sawa na uchochezi mwingine.

Hivi kama siku Tanzania tutapata Rais na bunge linalohusudu ufisadi, rushwa, kuuza twiga, faru, ndovu na kushabikia biashara ya dawa za kulevya kwa miaka 14 mfururizo kama Nkamia anavyotaka iwe itakuwaje? Tumkemee Nkamia kwakuwa hakuna utafiti unaoonyesha kuwa umaskini wetu ulisababishwa na uchaguzi wa kila miaka 5 na namna kuchaguana kila baada ya miaka 7 kutakavyopandisha uchumi wetu.
 
Mpango ushasetiwa tayari hii ndio namna ya kuuleta nkamia katumika tu Hivi Kuna mwana CCM anaweza mpinga Dr wazi wazi namna hii
Mara sifurahishwi
Mara spika
Mara wazee wa ndiooo
Mara kura za maoni
Mara ushindi wa kishindo
 
Huu ni mpango mkakati wao pamoja na boss wao. Mtu ajifanye hataki,wwanajitokeza wapuuzi waliotumwa huko kupiga propaganda ili hatimae bungeni mswada upelekwe na kura ipigwe!!!

Bunge matokeo yake kabla ya mswada yanajulikana!!

Kinachofanyika sasa ni kuhadaa na kuandaa mazingira hadi awamu yake ya kukaribia 2025 ndio watalileta rasmi!!!
 
Hicho kijibwa kimetumwa
 
Wanajitekenya wenyewe na wanacheka wenyewe. Eti NAFUNGA MJADALA! Kuna njadala hapa? Fumaa Mkamia Cheo ndiye pekee mwenye hoja. Eti anabishana na Mwenyekiti wake! Kutii Mamlaka kuko wapi?
 
Mkuu usishangae akiteuliwa kuwa waziri.

Trump atoe tu remix ya shithole countries and their leaders!!!

Baadala ya kusema iundwe tume ya mauaji ya Kibiti plus wale watoto 3000 tulioambiwa wamepotea kama sindano pamoja na miili ya watu waliofariki kwenye viroba pwani ya bahari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…