Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Ngamia wanatakiwa kuishi kwenye Jangwa,huku wanalazisha maisha.
Akili hazipo kabisa!
 
Hivi wanadhani sisi na watoto wadogo hatuelewi kinachoendelea. Juzi Polepole kaenda kwa rais kisha akamwambia kwamba hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa muda. Na wala hakukuwa na mjadala wowote kuhusu hilo. Kisha leo Nkamia anajifanya kwamba atapelekea mswaada kwa spika kuona wanafanyaje ili hilo litimie. Ukweli ni kwamba anataka kuongezewa muda, ila inabidi ajifanye ameshakataa isipokuwa analazimishwa. Mbona mambo mengine anayokataza hasa ya wapinzani hakuna anayethubutu kufanya lolote na ukijaribu tu unashughulikiwa?
naunga mkono hoja,kwanza lile swala la miaka saba ni lilishakwisha sasa boss inaonekana kama alikua analikumbushia ili mkamia atavoliibua mh aonekane ye alishalipinga hivyo nadhan wabunge watajifanya wanamuomba mh aongeze miaka ili aendelee kuweka mambo sawa,huu mpango mkakat nadhan umesukwa maana katika hali ya kawaida hili lilishakwisha sasa ni kipi kilichomfanya aijibu?ila naamin kwenye hili la kuongeza miaka ndipo demokrasia ya kweli itaanz kuja tz maana naamin litawakera si tu wapinzan bali hata wazawa wake
 
Na tukimpata Rais Bomu awamu ijayo tutabadili sheria tena?Bwana Nkamia pambana na ahadi zako jimboni acha porojo.
 
Tatizo ni kuwa hajaufunga mjadala, japo kasema hafurahishwi Nao! Hiyo kauli ni laini sana kulinganisha na uzito wa jambo lenyewe. Alipaswa kupiga marufuku mjadala huo, na hakuna ambaye angeuendeleza!!! Huenda hiyo kauli laini imemfanya Nkamia asome "between the lines" na akatiwa moyo kuendelea na harakati zake ambazo kimsingi si kwa ajili ya MKUU Bali kwa ajili yake mwenyewe kama mbunge na nafasi ya MKUU inatumiwa tu kwa manufaa binafsi!
 
Kwanza hakukuwa na mjadala wowote kwa siku za karibuni uliohusisha kuongeza muda wa kukaa ikulu. Mjadala ulishafungwa kitambo tangu huyu Ngamia ashindwe kuuwasilisha bungeni.

Mkuu juzi alipoongea na haraka haraka ndo akaibua huo mjadala na lengo lake aone watu wanalipokeaje! Ngamia no chambo tu,ukweli mkulu hataki tena kuondoka ikulu. Hii ni janja ya nyani...!!!
 
naunga mkono hoja,kwanza lile swala la miaka saba ni lilishakwisha sasa boss inaonekana kama alikua analikumbushia ili mkamia atavoliibua mh aonekane ye alishalipinga hivyo nadhan wabunge watajifanya wanamuomba mh aongeze miaka ili aendelee kuweka mambo sawa,huu mpango mkakat nadhan umesukwa maana katika hali ya kawaida hili lilishakwisha sasa ni kipi kilichomfanya aijibu?ila naamin kwenye hili la kuongeza miaka ndipo demokrasia ya kweli itaanz kuja tz maana naamin litawakera si tu wapinzan bali hata wazawa wake
Ndo mana nikasema kuna mtu anajifanya "KOROSHENI" hapo
 
Huyu mbunge anafahamu kuwa kuna watu wengi sana wataudhika kwa kubadilisha Katiba ili kuwaongezea watu akiwemo yeye muda wa kubaki madarakani. Huu ni uchochezi sawa na uchochezi mwingine.

Hivi kama siku Tanzania tutapata Rais na bunge linalohusudu ufisadi, rushwa, kuuza twiga, faru, ndovu na kushabikia biashara ya dawa za kulevya kwa miaka 14 mfururizo kama Nkamia anavyotaka iwe itakuwaje? Tumkemee Nkamia kwakuwa hakuna utafiti unaoonyesha kuwa umaskini wetu ulisababishwa na uchaguzi wa kila miaka 5 na namna kuchaguana kila baada ya miaka 7 kutakavyopandisha uchumi wetu.
Unamchagua rais mla rushwa fisadi kwa miaka 14!.
 
Katika taarifa ya habari ya BBC jioni hii amesikika Mhe.Juma Nkamia amempiinga waziwaazi Rais Magufuli kuhusiiana na hoja ya kutaka kuongezewa muda wa Urahisi toka miaka 5 mpaka miiaka 7!



Nkamia amesema atawasiliiana na Spika kuona namna atakavowasillisha hoja yake hiyo!

Pamoja na Rais Magufulii kuwatangazia Watz kupitia K/Mwenezi Bw. Polepole kuwa JPM hafurahishwi na mjadala huo wa kutaka aongezewe muda!!!!

Hoja ya Ngamia haina mashko anapodai ati Serkali inatummiia mabiilionii kwenye chaguzi kiila baada ya miaka 5!!! Ngamiia ni mnafiikii na hana adabu!!!Watz wangelimwelewa angelihoji kuhsu chaguzi ndogo za marudiio zinazokula mabiliionii kwa uzembe tu........!!!

Swali ni, Je, nani yuko nyuma ya huu upuuzi anaong'ang'ania Nkamia??Kama Mbunge wa CCM anapingana na Rais na Mwenyekiti wake wa Chama kwanini tusimwite MCHOCHEZI????

Ifahamu hadithi ya chui aliyevaa ngozi ya kondoo
 
Mnamdharau Da Mange kwa vile anatukana tukana ila mdharau mwiba?
Angalieni Kagame anavyowekeza Tanzania.

Kagame sio mpuuzi hadi aweke nguvu zake zote wakati anajua kuwa 2020,ama 2025 magu anaondoka.
Hapo Kagame ana uhakika kuwa ngoma hii lazima iende hadi 2030 ama zaidi.

Shkamoo Da Mange.
Hide my Id
 
Hapa atafutwe king msukuma apeleke hoja ya miaka 4 tu, akishavuta na vile vitu vyake
 
CCM ndiyo walimtuma.
Well said...!
CCM, MAGUFuL na NGAMIA wanacheza na akili za Watanzania.....!!!
Ukisoma kati ya mistari huyu Ngamia anatumika kufanikisha hii agenda kwa ustadi na hila tu..........!!
Tukumbuke CCM hawahawa wallipinga sana KATIBA PENDEKEZWA na huyu Ngamia na Polepole walikuwa mstari wa mbele kupiinga sana rasimu ya Katiba mpya....!!Leo wanataka kutuambia upuuzi gani.......!!??
 
Nkamia ametoa maoni yake.
Mh Magufuli ameshatoa msimamo wake kuwa hapendelei mjadala huo ni vema tukaheshimu msimamo wa kiongozi wetu.
Hata hivyo najua watanzania wengi wangependa atawale muda mrefu zaidi ili adumishe yale mazuri anayoyafanya.
Mkuu umesahau kuambatanisha namba zako za simu
 
Back
Top Bottom