Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Sasa Mange anahusika vp ktk huu mjadala..kweli WATZ wengi wao hawajielewi.
 
Mbona 20 michache? Fanyeni life kabisa itapendeza
 
Namuombea sana ngamia apeleke hiyo hoja, na pia ninaiombea sana ipite ili chama kubwa waanze kutafunana wao kwa wao, maana najua kuna ambao hili hawatalikubali maana na wao wana ndoto ya kukalia usukani. Sasa hiyo hali itasaidia mtifuano wa ndani kwa ndani ambayo itakuwa ndio faida ya waliopo nje.
 
Nkamia kule jimboni kwake hawamtaki mpaka anatamani uchaguzi usiitishe tena maisha yake yote?
 
Tunaandaliwa kisaikolojia. Mipango yote ya kuongeza Muda wa Mkulu ipo tayari, ni swala la muda tu. Kuna ule usemi wa kisungu kama sijakosea " nionyeshe marafiki zako na mm nitakwambia ww n mtu wa aina gani" Marafiki zangu...Kagame,Museven, kabila, Nkuruzinza...Mungu atusaidie Watanzani wenzetu waliojificha chini ya mwamvuli wa uzalendo ndio wanaoipeleka Tz kwenye shimo tena speed zote.
 
Hata timu Lowassa bado wamo CCM
 
Huwezi kuongoza kwa mkono wa chuma halafu utegemee kubaki kwenye uongozi kwa miaka 3 tu. Hujipendi?
 
Heri angesema uchaguzi usifanyike kabisa kuliko kusema iongezeke miaka 7!! Hivi huyu alikuwa na kazi gani zaidi ya kutangaza mpira?
 
Trump aliposema waafrika hawajitambui hakukosea,Mkamia amegangania muda wa raisi badala ya kugangamia katiba mpya.
Hizo ndio akili zetu za kufurahisha watu wachache kwa maslahi ya hao hao.
 
no coincidence in politics, ishu ipo wazi Nkamia ni chambo tu. Zanzibar wao washaijadili katika baraza
 
Kila nikiangalia mambo yanayofanywa na mostly of African leaders, najuta sana kuzaliwa Africa..japo mimi si mweusi sana,so hauwezi niita Black, infact watu weusi sana wanapenda kungangania madaraka na vita,a.k.a rejected coulor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…