SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Huyu Mgamia ana ufahamu mdogo sana sijui huko alifikaje
mmmmmmh we acha tuu kwakweli hali ni mbayaHuyu Ngamia jimboni kwake ni sheedah jamani! badala ya kuitisha harambee japo apate mahema na mabati ya kusaidia wapiga kura wake anahangaika na vitu visivyo na tija kabisa kwa Nchi. Poleni sana wana Chemba, mliyataka wenyewe.
Nkamia ni mbwa anayetekeleza matakwa ya bosi wake yaani mwenye mbwa.
Kama wapo basi wasilianzishe kwanza. Wasubiri hoja ipite kwanza ili wakilianzisha liwe na nguvu kubwa zaidi.Hata timu Lowassa bado wamo CCM
Kama hivyo ndivyo Hata CCM hawana maslahi kwenye hili. Nchi itakapompata muuza dawa za kulevya kwa miaka 14 hata wao watajutia. Nidhani kama huu utakuwa mpango wa wana ccm wote.Sikillizeni BBC Swahili hii jioni.........!!!Ngamia ameendelea kubanwa mbavu....! Yaanii jamaa ana hoja za kichizi kwelikweli.!!!Anadai kuna gharama kubwa za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu...!! Jamaa anaambiwa kama swala ni gharama kwaniini asipendekeze KUUNGANISHA CHAGUZI ZOTE MBIILI KWA MUHULA HUO WA MIAKA 5???Kimya...!!!!
Msiikilizaji mmoja kamtolea uvivu Ngamia kwamba NGAMIA ANATUMIKA TU LAKINI HII HOJA NI YA MFUGA MBWA MWENYEWE JOHH JOSEPH POMBE MAGUFULI.......!!!!
ILE JUZI KUMTUMIA KIDUME CHA NYANI POLEPOLE ILIKUWA NI KATIKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEJA HOJA HIIYO..........!!!!
Mark my words: KILICHOTOKEA RWANDA, BURUNDI NA UGANDA, BASI KINAKUJA TANZANIA NA HII NDO MIKAKATI YA CCM NA SERIIKALI LAO!!!!Huu uhusiano wa Kagame,Kurunziza,Museveni na Kabila siyo bure......!!!!lHiyo ni timu moja...!
Nimemsikiliza mwanzo mwisho, kwanza ana jazba, pili hawezi kujibu maswali anaruka ruka kuonyesha hii hoja katumwa na mtu ailete ila hajaelekezwa jinsi ya kuitetea, anarukia hoja mara muda hautoshi mara gharama kubwaSikillizeni BBC Swahili hii jioni.........!!!Ngamia ameendelea kubanwa mbavu....! Yaanii jamaa ana hoja za kichizi kwelikweli.!!!Anadai kuna gharama kubwa za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu...!! Jamaa anaambiwa kama swala ni gharama kwaniini asipendekeze KUUNGANISHA CHAGUZI ZOTE MBIILI KWA MUHULA HUO WA MIAKA 5???Kimya...!!!!