naunga mkono hoja,kwanza lile swala la miaka saba ni lilishakwisha sasa boss inaonekana kama alikua analikumbushia ili mkamia atavoliibua mh aonekane ye alishalipinga hivyo nadhan wabunge watajifanya wanamuomba mh aongeze miaka ili aendelee kuweka mambo sawa,huu mpango mkakat nadhan umesukwa maana katika hali ya kawaida hili lilishakwisha sasa ni kipi kilichomfanya aijibu?ila naamin kwenye hili la kuongeza miaka ndipo demokrasia ya kweli itaanz kuja tz maana naamin litawakera si tu wapinzan bali hata wazawa wakeHivi wanadhani sisi na watoto wadogo hatuelewi kinachoendelea. Juzi Polepole kaenda kwa rais kisha akamwambia kwamba hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa muda. Na wala hakukuwa na mjadala wowote kuhusu hilo. Kisha leo Nkamia anajifanya kwamba atapelekea mswaada kwa spika kuona wanafanyaje ili hilo litimie. Ukweli ni kwamba anataka kuongezewa muda, ila inabidi ajifanye ameshakataa isipokuwa analazimishwa. Mbona mambo mengine anayokataza hasa ya wapinzani hakuna anayethubutu kufanya lolote na ukijaribu tu unashughulikiwa?
Tena bila haya wala aibu!!!Cheo kinasakwa
Ndo mana nikasema kuna mtu anajifanya "KOROSHENI" haponaunga mkono hoja,kwanza lile swala la miaka saba ni lilishakwisha sasa boss inaonekana kama alikua analikumbushia ili mkamia atavoliibua mh aonekane ye alishalipinga hivyo nadhan wabunge watajifanya wanamuomba mh aongeze miaka ili aendelee kuweka mambo sawa,huu mpango mkakat nadhan umesukwa maana katika hali ya kawaida hili lilishakwisha sasa ni kipi kilichomfanya aijibu?ila naamin kwenye hili la kuongeza miaka ndipo demokrasia ya kweli itaanz kuja tz maana naamin litawakera si tu wapinzan bali hata wazawa wake
Unamchagua rais mla rushwa fisadi kwa miaka 14!.Huyu mbunge anafahamu kuwa kuna watu wengi sana wataudhika kwa kubadilisha Katiba ili kuwaongezea watu akiwemo yeye muda wa kubaki madarakani. Huu ni uchochezi sawa na uchochezi mwingine.
Hivi kama siku Tanzania tutapata Rais na bunge linalohusudu ufisadi, rushwa, kuuza twiga, faru, ndovu na kushabikia biashara ya dawa za kulevya kwa miaka 14 mfururizo kama Nkamia anavyotaka iwe itakuwaje? Tumkemee Nkamia kwakuwa hakuna utafiti unaoonyesha kuwa umaskini wetu ulisababishwa na uchaguzi wa kila miaka 5 na namna kuchaguana kila baada ya miaka 7 kutakavyopandisha uchumi wetu.
Ifahamu hadithi ya chui aliyevaa ngozi ya kondooKatika taarifa ya habari ya BBC jioni hii amesikika Mhe.Juma Nkamia amempiinga waziwaazi Rais Magufuli kuhusiiana na hoja ya kutaka kuongezewa muda wa Urahisi toka miaka 5 mpaka miiaka 7!
Nkamia amesema atawasiliiana na Spika kuona namna atakavowasillisha hoja yake hiyo!
Pamoja na Rais Magufulii kuwatangazia Watz kupitia K/Mwenezi Bw. Polepole kuwa JPM hafurahishwi na mjadala huo wa kutaka aongezewe muda!!!!
Hoja ya Ngamia haina mashko anapodai ati Serkali inatummiia mabiilionii kwenye chaguzi kiila baada ya miaka 5!!! Ngamiia ni mnafiikii na hana adabu!!!Watz wangelimwelewa angelihoji kuhsu chaguzi ndogo za marudiio zinazokula mabiliionii kwa uzembe tu........!!!
Swali ni, Je, nani yuko nyuma ya huu upuuzi anaong'ang'ania Nkamia??Kama Mbunge wa CCM anapingana na Rais na Mwenyekiti wake wa Chama kwanini tusimwite MCHOCHEZI????
Well said...!CCM ndiyo walimtuma.
Mkuu umesahau kuambatanisha namba zako za simuNkamia ametoa maoni yake.
Mh Magufuli ameshatoa msimamo wake kuwa hapendelei mjadala huo ni vema tukaheshimu msimamo wa kiongozi wetu.
Hata hivyo najua watanzania wengi wangependa atawale muda mrefu zaidi ili adumishe yale mazuri anayoyafanya.