Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"
Pia soma

- Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7
- Dkt. Bashiru amzuia Juma Nkamia kuendeleza mjadala wa kuongeza miaka ya Rais kukaa madarakani kuwa 7