Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Hivi huyu jamaa alirudi bungeni 2020?
Si unaona saa hizi anatafuta nafasi ya kufikiliwa 2025. Maana saa hizi ukitaka upewe nafasi huko we mponde Magu.Hivi huyu jamaa alirudi bungeni 2020?
🤣 🙌Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha
rubbishAliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"
View attachment 2216559
Haikusaidii kituWala tumsimsikilize huyu hayawani mkubwa. Yaani katika watu walikuwa wanampa kiburi cha kuongeza ukomo wa utawala Magufuli mmoja wapo ni Juma Mkamia.
Siwezi kumsamehe
Mtu kama huyu hastahili kuaminiwa tena na wananchi. Maana ni muoga, hajiamini, mbinafsi, mnafiki na mchumia tumbo.
Eeh kumbe ilikuwa ni njaa..[emoji23].. Kwahiyo alifanya hivyo ili kuchumia tumbo.. Hoja ingepita je!?[emoji848][emoji2827]Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.