Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

Eeh kumbe ilikuwa ni njaa..[emoji23].. Kwahiyo alifanya hivyo ili kuchumia tumbo.. Hoja ingepita je!?[emoji848][emoji2827]

Maamuzi yanayofanywa out of njaa, yana madhara makubwa sana katika jamii na Taifa. Kama ulivyouliza, wazia huo upuuzi aliouanzisha kama ungepita.
 
Sawa.

Mm na wengine tutakuita coward, and yes you are to us.

You are a coward who tried to save his family, hata hivyo wewe sio baba wa watanzania kwann ujitoe mhanga kwa ajili ya watanzania wote huku familia yako ikilia na kusaga meno? You did what you did, Watanzania wanapaswa kufanya wanayotakiwa kufanya na si kusubiri wachache wajitoe mhanga kwa ajili yao.

Lakini, kama hukuwa katika hatari ya kiwango cha kusema haya uliyoyasema sasa basi utakuwa moja ya WATU WAPUUZI DUNIANI.
 
Namkubali kwa kusoma tarifa ya habari tu.Kwingine simkubali.Arudi kwenye tathnia ya habari mbona wenzake wanapambana kule.
 
Njaa mbaya. Kesho atasema samia aongezewe miaka 7
 
Huyu Juma Nkamia ni kati ya wanasiasa wachovu wanaochezea mustakabali wa siasa na maslahi ya umma kwa matatizo binafsi
Si ndiyo walivyo karibu wote wa huko kijani. Huyu inavyoonekana kachoshwa na zamu za kulinda lile kaburi la kule Chattle.
Mmoja mmoja wanaanza kujitambua.
 
Jina tu linaonyesha yeye ni takataka.

Hivi dodoma mbona inatoa wabunge wa ajabu ajabu hivi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nkamia atatukanwa sana, lakini watanzania mdomoni tuko vizuri. Mashujaa waliojitoa kusimamia misimamo wakati ule waliumia,peke yao!!
Labda uwe na misimamo ya hivyo uwe halafu umejiandaa na mbio kukimbilia ubalozi ulio karibu. Kwa yule bwana!!!
 
Kwahiyo yeye watoto wake wawili wanaosoma ndio kigezo cha kusema rais aongezewe miaka miwili mbele.?? Tanzania hatuna vijana wabinafsi na wa hovyo bali pia tuna watu wazima hovyo wabinafsi na wachoyo wanaopenda kupata wao tu .wengine wapate kidogo......
 
Aliposema tu “nina watoto na nasomesha” moja kwa moja unajua tu kwamba wanasiasa wengi ni hovyo vichwani wapo walipo kushibisha na kuneemesha familia zao.

Siasa bongo ni njaa ukiondoa posho na ukashusha mishahara hakuna atakaeitaka siasa
 
Kumbe huyu ni kihiyo mno kiasi cha kuuanika umaamuma wake badala ya kuuficha!
Huyu kajitokeza na kutubu, ni ishara kuwa kaanza kushika njia sahihi. Mtu kuficha maujinga yake sio ujanja BALI ndio ujinga wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…