Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh kumbe ilikuwa ni njaa..[emoji23].. Kwahiyo alifanya hivyo ili kuchumia tumbo.. Hoja ingepita je!?[emoji848][emoji2827]
Haikuisha, 2020 hakurudi bungeni. Kura za maoni alipigwa chini
Na mpuuzi mwingine anaitwa ALLY KESSY wanaNkasi wakamchinjilia mbali.Wala tumsimsikilize huyu hayawani mkubwa. Yaani katika watu walikuwa wanampa kiburi cha kuongeza ukomo wa utawala Magufuli mmoja wapo ni Juma Mkamia.
Siwezi kumsamehe
Namkubali kwa kusoma tarifa ya habari tu.Kwingine simkubali.Arudi kwenye tathnia ya habari mbona wenzake wanapambana kule.Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"
Pia soma
Si ndiyo walivyo karibu wote wa huko kijani. Huyu inavyoonekana kachoshwa na zamu za kulinda lile kaburi la kule Chattle.Huyu Juma Nkamia ni kati ya wanasiasa wachovu wanaochezea mustakabali wa siasa na maslahi ya umma kwa matatizo binafsi
Hana ubunge. Alipigwa chini kwenye kura za maoni na new comer (ni member humu).Na huyu ndio mbunge ambae wananchi wanategemea awatetee
Fuatilia kwa karibu utagundua ubunge kwa Tanzania ni kichaka cha watu kama yeye!Na huyu ndio mbunge ambae wananchi wanategemea awatetee
Ndio wote walivyo sema huyu ameamua kutokua mnafiki.Mtu kama huyu hastahili kuaminiwa tena na wananchi. Maana ni muoga, hajiamini, mbinafsi, mnafiki na mchumia tumbo.
https://www.jamiiforums.com/attachments/jamiiforums-266676641-jpg.2187028/Legasi inazidi kupopolewa tu
Huyu kajitokeza na kutubu, ni ishara kuwa kaanza kushika njia sahihi. Mtu kuficha maujinga yake sio ujanja BALI ndio ujinga wenyewe.Kumbe huyu ni kihiyo mno kiasi cha kuuanika umaamuma wake badala ya kuuficha!