Asante mkuu jamaa anajua sana kibongo bongo nilimshuhudia game na Siginda kina kutinyo na mudathiri wali appreciateKukuthibitishia kuwa naujua mpira Juma nyange nimeanza kumshuhudia toka yuko daraja la kwanza na alliance na siku waliyoifunga Pamba 2-0 kwenye mechi ya FA CCM Kirumba tarehe 14/1/2017 nilikuwepo uwanjani na nilipiga nae picha!
Dah, yule kiumbe aende trial hata 254.Juzi nilimuita aje kunipiga tafu mtaani kwangu jamaa alikamua ile mbaya
Hakuna mpira hukoDah, yule kiumbe aende trial hata 254.
Unagubu, trial ndio nini, halafu ati 254 ndio imewaona wa maana sanaDah, yule kiumbe aende trial hata 254.