MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Habari za mda huu wapenzi wa mpira wa miguu Nani anaemfamu huyu kiungo fundi wa ALLIANCE SCHOOL kiufupi jamaa kakamilika nikimuangaliaga dimbani simtofautishi na JONAS MKUDE.
Nazipa ushauri team za kariakoo zijaribu kumfuatilia uyu jamaa anakipaji kikubwa mno ila tatizo lake nidhamu mfano kumpiga kidole Gadiel Michael ilimtia doa kidogo ila jamaa kakamilika kwakweli.