Juma Nyoso unafanya bangi ionekane walioiharamisha walikuwa sahihi.

Juma Nyoso unafanya bangi ionekane walioiharamisha walikuwa sahihi.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Kwa nyakati tofauti Mbunge wa Kahama Mh Kishimba na Mbunge wa Geita vijijini Mh Joseph Msukuma waliwahi kuomba bangi ihalalishwe kama zào la Biashara ikilimwa kama dawa.
Lakini kitendo ulichofanya Leo Juma Nyoso kwenye Mechi ambayo timu yako ilishaichukua na kuelekea kushinda, ghafla katika mazingira yasiyohatarisha goli lako unahamisha mpira vizuri na ghafla unamkanyaga mgongoni Kwa makusudi Kipre Junior. Hii bangi uliyotunia Leo ungetuelekeza ulikoinunua ili ndiyo ipigwe marufuku nyingine ihalalishwe.
 
Back
Top Bottom