Oyoooooo, mzee mzima nyoso a.k.a mzee wa dole la kati... John Bocco jiandae...
Na safari hii watampa kesi ya ubakaji
hahahahahahahahaha....Hahahahahahaaaa.... Aseeee... Imebidi nicheke tuuu.. Maana nikiiangalia sura ya Jamaa na matendo yake... Yanashabiana kabisaaa... Ningeshangaa sana kama Jamaa angekua na sura kama CR7 AF akafanya mambo hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoooo baba unipigie mdole Ngoma na Kamusoko maana wanapenda sana kujibenua benua