JUMA NYOSSO is back..! Washambuliaji mjipange

JUMA NYOSSO is back..! Washambuliaji mjipange

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Beki nguli wa mbeya city amemaliza adhabu yake baada ya kufanya utovu wa nidhamu.
Msimu mpya unakaribia kuanza tunatarajia mchango mkubwa kusaidia timu ya mbeya city
1470736141007.jpg
 
Oyoooooo, mzee mzima nyoso a.k.a mzee wa dole la kati... John Bocco jiandae...
Na safari hii watampa kesi ya ubakaji
 
Akirudi msimu ujao ndiyo atalizamisha mazima
img-20150927-wa0001-jpg.291847
 
Mwambieni kuna vijana hawamfahamu ni wageni aanze nao haswa mavugo
 
Hahahahahahaaaa.... Aseeee... Imebidi nicheke tuuu.. Maana nikiiangalia sura ya Jamaa na matendo yake... Yanashabiana kabisaaa... Ningeshangaa sana kama Jamaa angekua na sura kama CR7 AF akafanya mambo hayo
 
Nyoso ni tishio... Hasa yanga kipindi kileeeee
 
Nimeshindwa kuamini kuwa nasoma posts za kusifiwa ama kupongezwa NYOSO humu!
 
Hahahahahahaaaa.... Aseeee... Imebidi nicheke tuuu.. Maana nikiiangalia sura ya Jamaa na matendo yake... Yanashabiana kabisaaa... Ningeshangaa sana kama Jamaa angekua na sura kama CR7 AF akafanya mambo hayo
hahahahahahahahaha....

hauitaji kuwa polisi ndiyo ung'amue kwamba jamaa ni li"halifu"...

mungu anamaajabu kwakweli
hahahahahaha.....
 
Back
Top Bottom