Juma P. Makabila.... Singeli limeisha utamu haraka sana...

Radha ya singeri yake imepotea mapema hata kabla ya 2020, kiburi kimemponza na hataki kupangiwa
 
Ni dulla huyo mzee wa hujaulamba

Halafu hilo jina la makabila alilipata baada ya kuimba ule wimbo wake kuhusu tabia za wanawake kutoka makabila mbalimbali
aah kumbe ndo huyu aliimba jamani wakwere kwa vigodoro[emoji23][emoji23][emoji23], kuna demu wa kipogoro ananipenda sana[emoji23][emoji23]
 
tatizo JUMA p makabila hashauriki na akiendelea hivyo atapotea kwenye gemu
 
Jamaa anahisi yeye peke yake ndo anaweza kuimba singeli hataki hata kusikia watunzi wakimshauri kwenye tungo zake.
Sasa subiri watu waanze kusikiliza za wale wengine wakizielewa yeye watamtema baada ya wakati wake wa kutamba ukiisha.Wengine tunatamani libume hata leo,halafu anapenda sans kiki.
 
Hivi Juma Makabila mbona haonekani kwenye shooting yoyote siku hizi?? Au hata video hataki tena??
 
Kuna siku alitungiwa songi la kuperform mbele ya wageni, mazoezi yameenda vizuri kabisa, sasa muda wa kutumbuiza ulipofika DJ anashangaa vocal haziendani na biti, kuja kushtuka kumbe Juma P Makabila anaimba vitu vyake anatoa kichwani.

Jamaa anamwamrisha ma-DJ, MC, Producers anataka wafanye vile anavyotaka tu yeye, wakikataa anawapiga chini.
 
Naikumbuka hii show... Watu kidogo wang'oe viti.... Kuna siku atadaiwa Kiingilio huyu.
 
Baada ya kujiona anajua kuimba aliamua kurusha mic,kumbe sauti yake mbovuuu,ameamua kuitafuta mic kumbe mashabik waliondoka nayo,sasa anapuyanga tuu,na wameanza kumuita Bwana Haambiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…