Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
halafu ni mtanashatiHuyu nae hajaelewa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu ni mtanashatiHuyu nae hajaelewa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kuna siku alitungiwa songi la kuperform mbele ya wageni, mazoezi yameenda vizuri kabisa, sasa muda wa kutumbuiza ulipofika DJ anashangaa vocal haziendani na biti, kuja kushtuka kumbe Juma P Makabila anaimba vitu vyake anatoa kichwani.
Jamaa anamwamrisha ma-DJ, MC, Producers anataka wafanye vile anavyotaka tu yeye, wakikataa anawapiga chini.
DAH MKUU NIMEJARIBU KUISOMA KWA UMAKINI NIMEKUJA KUIELEWA DUH! WE MKALI ILA SS MAKABILA NDO KAMA HIVYO KAPANIKI KWA KUWA MZIKI UMEKUFA WATU HAWAMSIKILIZI TENA NA SS SIJUI ANAWAZA NN ILA AKIKAA AKATULIA ATAPENDWA TENA NA MZIKI WAKE!!!!!!!! BIG UPSalam,
Kwanza nikiri kuwa pamoja na kwamba Sikuwa mfuasi wa msanii huyu wa singeli, na wala sikuamini Kama aina yake ya mziki ingetoboa na angetoka.... Lakini kwa Mwaka mmoja wa kwanza tangu Juma Makabila ameanza singeli, nililazimika kuamini kuwa alikuwa anatoka na angetusua.
Akaanza kutafuta Kiki za hapa na pale ili singo zake za mwanzo ziuze... Akapata interview kibao, mpaka akaingia mitandaoni Kama msanii bora wa kiume afrika. Watu tukajua tumeuza.... Zikaja shows na collabo kibao toka kwa majirani zetu wanaocheza aina moja ya mziki.... Makabila akazidi kuwakamata. Mara kidogo katajwa na kituo kikubwa Nigeria, kidogo south, kidogo Marekani..... ikanibidi ni relax nikajua singeli la Makabila lishauza.... Lahaula!!!! Mwaka mmoja ulipoishaaaaa...
Mara show zikakata, collabo za wana zikageuka uadui wakaanza tumtukana na kumsema vibaya... Mara oh! Umeacha singeli unaimba hardcore, Mara umetubadilikia umekuwa matawi.... Loh.
Juzi hapa tukasikia kituo flani sauzi kimemkandia tukajua kwisha habari yetu.
Singeli la Makabila wetu likaisha utamu fastaaaa... Kama takeu ya ndugu yangu mr. Nice.
Ila bado Makabila anahitaji kurudisha singeli lake hewani..... Waungwana tumshauri kwa hekima ana Wakati mgumu ukizingatia garama kubwa alizopoteza kujiweka hapo alipo.
Mshauri juma Makabila singeli lake lirudi hewani.
Unaambiwa kazi ya mtu lawamaMSHAMBA HAWEZI KUELEWA
Yani nilikuwa sijaelewa mpaka niliposoma hii vomment.Juma P Makabila hahaha aisee watu mnajua kucheza na lugha
bado yupo,juzi kamfukuza meneja wake wa ndani,na kasaini mkataba na lebo nyingine ya kimataifa ila atakula 16% ya mapato.Salam,
Kwanza nikiri kuwa pamoja na kwamba Sikuwa mfuasi wa msanii huyu wa singeli, na wala sikuamini Kama aina yake ya mziki ingetoboa na angetoka.... Lakini kwa Mwaka mmoja wa kwanza tangu Juma Makabila ameanza singeli, nililazimika kuamini kuwa alikuwa anatoka na angetusua.
Akaanza kutafuta Kiki za hapa na pale ili singo zake za mwanzo ziuze... Akapata interview kibao, mpaka akaingia mitandaoni Kama msanii bora wa kiume afrika. Watu tukajua tumeuza.... Zikaja shows na collabo kibao toka kwa majirani zetu wanaocheza aina moja ya mziki.... Makabila akazidi kuwakamata. Mara kidogo katajwa na kituo kikubwa Nigeria, kidogo south, kidogo Marekani..... ikanibidi ni relax nikajua singeli la Makabila lishauza.... Lahaula!!!! Mwaka mmoja ulipoishaaaaa...
Mara show zikakata, collabo za wana zikageuka uadui wakaanza tumtukana na kumsema vibaya... Mara oh! Umeacha singeli unaimba hardcore, Mara umetubadilikia umekuwa matawi.... Loh.
Juzi hapa tukasikia kituo flani sauzi kimemkandia tukajua kwisha habari yetu.
Singeli la Makabila wetu likaisha utamu fastaaaa... Kama takeu ya ndugu yangu mr. Nice.
Ila bado Makabila anahitaji kurudisha singeli lake hewani..... Waungwana tumshauri kwa hekima ana Wakati mgumu ukizingatia garama kubwa alizopoteza kujiweka hapo alipo.
Mshauri juma Makabila singeli lake lirudi hewani.
Ni kweli ana wapambe wake Fulani hivi wanaongozwa na kamanda wa kanda maalum "Big Bash"Tatizo la Juma , DJ asipopiga ngoma zake au akiponda ngoma famba anatuma wapambe wake wamzingue huyo DJ. Mfano mmoja wapo ni Deejay Roman Catholic.