Juma P. Makabila.... Singeli limeisha utamu haraka sana...


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mnavituko aise..
Itamchukua mtu kuelewa hili somo aise.
Fasihi tata.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona watu wanaogopa kutelekezwa ununio..
 
Leo jamaa katoa single kule Pugu eti yeye ni dereva mzuri.Dereva mzuri anakataa abiria kuchimba dawa? Kwa mawazo yake anafikiri wakijiharibia yeye atakuwa salama.bwana Jems Palamagamba Makaburi ni hatariiii
 
NI
DAH MKUU NIMEJARIBU KUISOMA KWA UMAKINI NIMEKUJA KUIELEWA DUH! WE MKALI ILA SS MAKABILA NDO KAMA HIVYO KAPANIKI KWA KUWA MZIKI UMEKUFA WATU HAWAMSIKILIZI TENA NA SS SIJUI ANAWAZA NN ILA AKIKAA AKATULIA ATAPENDWA TENA NA MZIKI WAKE!!!!!!!! BIG UP
 
Mziki wa singeli kweli umekufa, ila Nadhani msanii wetu juma akiachana na dj 0 wake anayempenda itasaidia sana kuurudisha mziki wa singeli. Sababu dj anamuharibia show zake, hata juzi juzi pale pugu night club dj alikua anan'gan'gania kupiga wimbo wake ule wa mida ya kubeti wakati alitakiwa apige nyimbo mpya.
 
Mmmh mbona mm simfahamu huyo msanii aka ni mm sijaelewa fanani na hadhira take
 
Eti amewapigia simu wasanii wenzake wale watoto walioimba helena amewapongeza na kusema anavutiwa na kile kibwagizo cha,

" mikono juu mwendo wa mateka mikono juu"[emoji444] [emoji444]
 
Mods huu uzi hukupaswa kuwa hapa ...wenye IQ kubwa kama mimi tumeelewa mkuu mtoa post kamzungumzia Juma P Makabila yupi., anyway ila hongera kwa Lumumba kwa kutoa ushauri kwa Mwanasingeri.
 
Ulifikiri bwana juma p makabila ataipelela singeli intaneshno😂😂😂😂 kibri kilimjaa hata produza zake akaona hawana maana wakati ndo walomtoa
 
bado yupo,juzi kamfukuza meneja wake wa ndani,na kasaini mkataba na lebo nyingine ya kimataifa ila atakula 16% ya mapato.
 
Alikuja na wimbo wake mmoja unaitwa "Makabila" ukabamba sana. Lakini makabila yaliyonufaika na huo wimbo ni ya ukanda mmoja tu. Huyo ndo Juma Promota Makabila na singeli lake lililokosa mvuto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…