Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Pumzika kwanza tafakari ya kanisani na maisha kwa ujumla,,,baadae jioni kagiza cha usoni si mbaya ukaenda kupata kitimoto ROST utajua mwenyewe utaisindikiza na nini!!!
Ee sitaki kujichosha sana nisha sali inatosha