Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma kwenye gazeti Juma Pinto
na David Mosha wanagombea ujumbe kwenye uchaguzi unaokuja
wa TFF....
nimeona ni vizuri ku share habari hii...hapa since haya majina
yanazungumzwa mno hapa JF now
just an info.....
Labda kama wanataka kurahisiha uzambazji wa ndani ya nchi, airport na bandari mwakyembe kabana.
TFF ni Ngalawa ya kusafirisha madawa ya kulevya ikiwa hawa jamaa watashinda
Nimejiuliza je Taifa stars huwa wanasachiwa sawasawa?
TFF ni Ngalawa ya kusafirisha madawa ya kulevya ikiwa hawa jamaa watashinda
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
TFF ni Ngalawa ya kusafirisha madawa ya kulevya ikiwa hawa jamaa watashinda