Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyo Pondamali haogopi kuzungumzia matumizi ya uchawi kwenye radio. Hanaga aibu. Mpeleke misitu ya ShengenaKumbe walianza kitambo hizi mambo
Si unajifanya unajua kila kitu vipi hili hukulijua?Kumbe walianza kitambo hizi mambo
Anawezaje kujua kila kitu. Yeye ni nani mpaka ajue kila kitu?Si unajifanya unajua kila kitu vipi hili hukulijua?
watu wawekeze nje ya uwanja lakini kwenye kutafuta scouting bora na uendeshaj bora wa team.Pondamali anadai kumuuliza Sammata kwamba walikuwa wanafanyaje walipokuwa TP Mazembe hadi kuwapiga waaarabu nje ndani...
Watu kama hawa ni wa kuwasamehe tuuHuyo Pondamali haogopi kuzungumzia matumizi ya uchawi kwenye radio. Hanaga aibu. Mpeleke misitu ya Shengena
Unaweza kuwa sahihi kwamba ni mawazo duni, lkn kuna kitu huwa kinafikirisha juu ya timu za waarabu, wenzetu huwa wananufaika sana na kile kinachoitwa "makosa ya kibinadamu ya marefa" siku zote makosa hayo huwa ya kuwabeba na siyo kuwaumiza? Je hii huwa inatokea kibahati tu au ni mpango maalum?watu wawekeze nje ya uwanja lakini kwenye kutafuta scouting bora na uendeshaj bora wa team.
swala sijui wakaongee na marefa . ilo halitosaidia kitu team za Tanzania zitafungwa kila siku kama zitakuwa bado zina fikra za mwaka 1970
Makosa ya refa yapo ila kama tumewatawala team pinzan ball possession 90% tunawashambulia ipasavyo kila idara tupo sawa on pitch ... haunion km tutakuwa na faida kubwa zaidi kuliko kuwategemea marefaUnaweza kuwa sahihi kwamba ni mawazo duni, lkn kuna kitu huwa kinafikirisha juu ya timu za waarabu, wenzetu huwa wananufaika sana na kile kinachoitwa "makosa ya kibinadamu ya marefa" siku zote makosa hayo huwa ya kuwabeba na siyo kuwaumiza? Je hii huwa inatokea kibahati tu au ni mpango maalum?
Inajulikana kuwa hawana akili hivyo ni kuwapuuza tu.Watu kama hawa ni wa kuwasamehe tuu
Aliyetoa maoni haya ni topolo kubwa mno.Pondamali anadai kumuuliza Sammata kwamba walikuwa wanafanyaje walipokuwa TP Mazembe hadi kuwapiga waaarabu nje ndani , ambako inadaiwa boss wa Mazembe alikuwa anawatuma mashushushu hadi nje ya nchi kuonana na marefa kufanya fitna za nje ya pazia
Hivyo amewataka yanga kuwekeza pia nje ya uwanja kwa kutumia misumali au chochote .
Pondamali ni Mchezaji wa Zamani na kocha msaidizi wa zamani wa Yanga .
Toa maoni yako .
Halafu watafeli woteYanga itaenda na waganga 23
Ila TOPOLO ni TOPOLO tu.Pondamali anadai kumuuliza Sammata kwamba walikuwa wanafanyaje walipokuwa TP Mazembe hadi kuwapiga waaarabu nje ndani , ambako inadaiwa boss wa Mazembe alikuwa anawatuma mashushushu hadi nje ya nchi kuonana na marefa kufanya fitna za nje ya pazia
Hivyo amewataka yanga kuwekeza pia nje ya uwanja kwa kutumia misumali au chochote .
Pondamali ni Mchezaji wa Zamani na kocha msaidizi wa zamani wa Yanga .
Toa maoni yako .