Juma Pondamali aitaka Yanga kuwekeza pia Nje ya uwanja

Eneza Habari​

[1]
Eneza habari humu duniani
Popote panapo moyo wa huzuni,
Ndimi za Wakristo zitangaze neno,
Yupo mfariji

[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji

[2]
Mfalme wa wafalme, Yesu, umtazame
Ametuletea sifa ya milele
Mateka wapate ukombozi wake,
Yupo mfariji

[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji

[3]
Niwezeje mimi kutamka vizuri
Kumsifu mwokozi aliye mbinguni?
Nitangaze sasa, neno la furaha,
Yupo mfariji.

[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji

[4]
Wenzangu tuimbe nyimbo za milele
Mbinguni tujaze na shukrani tele
Upendo wa Bwana ujulike sana.
Yupo mfariji

[chorus]
Yupo mfariji yupo mfariji
Roho mtakatifu ndiye msaidizi
Eneza habari humu duniani
Yupo mfariji
 

Attachments

Wekezeni kwenye uchawi hasa aliposema misumari maana ni kawaida yenu kwenye uchawi

Ila tu mwalimu wenu ni simba lazima mtakuja kujifunza kwetu tunashindaje dhidi ya waarabu
Kuwasha moto mchana kweupe ugenini
 
Nje ya uwanja tayati mbona washawekeza

Kuna wachambuzi special ambao hawa kazi yao ni kutaja mazuri ya Yanga tu

Kuna kina Arajiga, Frolentina, Kayoko nk hao nao wana play part yao kivyao vyao

Kuna Manara mzee wa slogans japo saizi ni kama upepo umemkataa hataki kabisa kufanya promo ya dizaini hiyo but amekuwa mzuri sana kwenye kipengele hicho.
 
Ningemuelewa kama angesema kujiimarisha nje ya uwanja kwa kutengeneza mahusiano na watu wakubwa afrika na sio kuhonga marefa coz hakuna ujinga huo huku
 
Si unajifanya unajua kila kitu vipi hili hukulijua?
Inaonesha una wivu ama chuki kubwa sana kwa Mshana Jr . Niko JF toka inaanzishwa na sijawahi kuona Mshana akileta ujuaji. Huwa anaandika masuala ambayo ana taarifa zake au uelewa wa kutosha. Nadhani ni mmoja wa members wanaoheshimika na kufuatiliwa sana.
MUOMBE RADHI HARAKA SANA.!
 
Ushauri wake umeanza kufanyiwa kazi waarabu wanafanyiziwa sasa hivi
Your browser is not able to display this video.
 
Wamwewekeza sana nje ya uwanja kwa soka la bongo. Kumbukeni ushindi wa uto uliopita kwenye ligi kwa goli la penati yav aibu hadi kichefuchefu! Hebu anayeweza atuwekee hapa hiyo penati!! Kuwekeza nje ya uwanja ndo huitwa kujitekenya mwenyewe kisha kucheka sana mwenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…